Wow! Finally Snow Leopard on my PC

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa.

:ranger:
 
Last edited by a moderator:
Nakaza ile mbaya, unajua nimehangaika sana na hii kitu hatimae imekubali toka enzi 10.3 Panther, 10.4 Tiger, 10.5 Leopard mpaka sasa nimefanikiwa 10.6 Snow Leopard

Mashine iko fasta ile mbaya
 
ndio nini hicho?

Duh Preta uko wapi wewe?

Hii inaitwa Operating System tofauti na Windows XP, Vista au Windows 7. Ni OSX mara inayokuwaga kwenye Computer zinazoitwa Macintosh.
Ni Operating System isiyovamiwa na VIRUS kama zilivyo Windows, pia inawaka kwa haraka sana ndani ya sekunde 15, inayoweza kukufanya ukafanya kazi kwenye Program zaidi ya moja bila kusumbua Processor. Hata kama Program flani imestack kwa mfano ingawa ni mara chache unaweza kuifunga hiyo Program iliyostack bila kuathiri Program nyingine zinazofanya kazi na kuifungua upya. Inatumika hasa kwa wale wanaoyanya kazi za Graphic Designing, Video Editing, Music Production ingawa hata kwa shughuli za kawaida unaweza kuitumia pia

Sijui kwa haya maelezo machache umenipata?
 
Duh Preta uko wapi wewe?

Hii inaitwa Operating System tofauti na Windows XP, Vista au Windows 7. Ni OSX mara inayokuwaga kwenye Computer zinazoitwa Macintosh.
Ni Operating System isiyovamiwa na VIRUS kama zilivyo Windows, pia inawaka kwa haraka sana ndani ya sekunde 15, inayoweza kukufanya ukafanya kazi kwenye Program zaidi ya moja bila kusumbua Processor. Hata kama Program flani imestack kwa mfano ingawa ni mara chache unaweza kuifunga hiyo Program iliyostack bila kuathiri Program nyingine zinazofanya kazi na kuifungua upya

Sijui kwa haya maelezo machache umenipata?

asante kwa kunifafanulia.....mimi niliyowahi kuisikia kuwa haishambuliwi na virus ni ubuntu......sasa hii yako ni mpya tena....so naweza kubadili window 7 yangu nikamweka huyu leopard?
 
asante kwa kunifafanulia.....mimi niliyowahi kuisikia kuwa haishambuliwi na virus ni ubuntu......sasa hii yako ni mpya tena....so naweza kubadili window 7 yangu nikamweka huyu leopard?

Ubuntu ni ngumu kutumia kwa wengi na haina software nyingi kama ilivyo OSX (Leopard au Snow Leopard). Kwenye Leopard unaweka Program nyingi sana zinazotumika kila siku kama Mozilla FireFox, Word, Excel, Powerpoint (Office Application), Adobe Package, Quark, Statistics Progs, Web Progs nk.

Hivyo unaweza kabisa kutoa Win 7 ukaweka Leopard maadam kujua Specification za Computer yako baaasi
 
Ni Operating System inayotumiwa zaidi na Wamarekani, hata Movie nyingi za HollyWood unazoziona wanatengeneza kwenye Final Cut Pro ambayo inapatikana tu kwenye OSX pekee
 
Ubuntu ni ngumu kutumia kwa wengi na haina software nyingi kama ilivyo OSX (Leopard au Snow Leopard). Kwenye Leopard unaweka Program nyingi sana zinazotumika kila siku kama Mozilla FireFox, Word, Excel, Powerpoint (Office Application), Adobe Package, Quark, Statistics Progs, Web Progs nk.

Hivyo unaweza kabisa kutoa Win 7 ukaweka Leopard maadam kujua Specification za Computer yako baaasi

mweeee....haya ni mashikolo mageni kwangu.....nitasubiri inikute kama win 7 ilivyonikuta....si itakuja?
 
mweeee....haya ni mashikolo mageni kwangu.....nitasubiri inikute kama win 7 ilivyonikuta....si itakuja?

Haiji huku kwenye PC's hii ni maalum kwa Mac's tu. Hivyo hata huu utaalamu wa kuiingiza kwenye PC's ni utundu binafsi hasa kama huwezi kununua Original Mac maana ni ghali. Mfano G5 tower inasimama kama 4 mil za kibongo sasa mi nina G5 tower ya PC (Dell Optiplex 380 with full speed ahahahaaaaaaaa) kwa gharama ya 900,000 tu tena inakimbiza kuliko G5 Tower original maana naitumia original nikiwa ofisini
 
Ebwana nimekukubali na sasa nipe msaada wako. mi natumia MacBook version 10.5.8, Processor 2.4 GHz Intel Core 2 Duo. Memory 2GB natamani sana nitumie leopard au snow ila kununua mashine nyingine gharama maana hii nimenunua ghali kidogo nimetumia mwaka tuu. how do i get that kwa dezo?
 
Hiyo unayotumia 10.5.8 ni Leopard
Tuwasiliane nitakuwekea 10.6.4 Snow Leopard
 
mkuu kimoko nadhani ungesaidia sana kama ungetuwekea specification required ili tujue vimeo vyetu vinaweza kuitumia hiyo leopard snow. asante
 
Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa.

:ranger:

Duh, mkuu we mkali.

Mi natumia hiyo Snow Leopard, lakini kwa matumizi yangu ni very basic nothing special.

Mashine za Mac / OS zake tatizo apps zingine tulizozizoea kwene PC zinakuwa hazipatikani, kwamba developer anakuwa hataki kuumiza kichwa ku-cater doamin ndogo ya wateja huku kwene MAC, hivyo unakuta watu wengi bado wanakuwa na OS 2 kwa ajili ku-enjoy kotekote. Mi binafsi naboreka sana na hilo, ndio maana bado natumia kamaashine kengine kwa ajili ya PC tu.

Huko nafanya fujo zote bila zengwe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom