To reset your iphone, hold down the right button and the home front button for about 6 seconds.This can also be done in the phone section.This is different than a regular shutdown, which can...
These are all the tricks known so far
~cheers~
You need a PC or a Laptop and the required connectivity tools ,ie.,
Serial/USB cable OR Infrared Device OR Bluetooth dongle
1) Activate...
Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
Halo Mkuu!!
Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana.
Model: E1550
IMEI: 359124034447644
Tafadhali...
Wanateke linalo kujia,
Hi thread nimepost ili watu wa ICT wamwage sifa zao, wabobea maswala gani katika IT na wametengeza nini. kama programa wajua languages gani na gani na umetengeza nini au...
Pirates have targeted Apple's new software download service just one day after it launched.
Several groups claim to have found security flaws in the company's new Mac App Store, which launched on...
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi...
Nimekuwa nasikia kipindi sasa kuwa mfumo wetu wa kurusha matangazo kwa televisheni upo katika mchakato wa kupadilika kutoka analogi tulio nao sasa kwenda mfumo mpya wa digital, mfumo utakaofanya...
Wakuu, nina pc zangu kadhaa (3 to be specific!) zilikuwa zinashare broadband internet (on a wired LAN), pc ya chumbani nilikuwa natumia kama "server" kugawia net study room na living. Mwanzo...
Nahitaji kuinstall printer aina ya hp Laserjet 3015 kwenye computer ila nimepoteza CD yake, naomba mnisaidie kuiweka hapa, nimejaribu kudownload nikiinstall inagoma.
Thanks in advance.
pasipo kujua nimejikuta nimefuta/poteza sound driver za computer angu ni HP-COMPAQ PRESARIO C700,,,,Nili i down grade from vista to window xp,,,,,,,,,,,kuna jamaa mmoja aliniwekea sound driver na...
Since I first time saw the website, it has been the same 'shit'. Sorry if anyone got offended but somebody got clean up that 'shit'. Au ndo kama majumba ya kale hayabadilishwi?:becky:
National...
Picochip has shown off its vision for next-generation femtocells, including picoXcell technology that will allow its customers to create an entire 3G cellular basestation in an ultra-small form...
Kuna jamaa amepoteza logon passward kwenye pc yake yenye os winxp, ameniomba msaada lakinu ukweli sijuwi nianzie wapi, kweni wataalam nielimisheni ili iweze kumsaidia bila ya ku-reinstall window...
Nilikuwa najaribu kuperuzi taratibu za visa za India zikoje nikatembelea website yao nikafika kwenye page hii:
:: High Commission of India - Dar es Salaam
Uki-click hapo "VISA" au "Download Visa...
Wataalam wenzangu,
Nimekuwa niki-experience version tofauti za Windows tangu Windows 95 mpaka sasa Windows 7.
Kikawaida nikiwa home kwangu, huwa na-disable automatic Windows Update na...
nimesikia tetesi kwenye IT meeting leo kuwa TTCL wametoa package mpya za internet, ambazo wanachaji kwa saa, something like Tshs 1000 kwa saa unlimited downloading. kuna yoyote mwenye habari hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.