Ninaomba msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninaomba msaada wenu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KAUMZA, Dec 28, 2010.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wana jukwaa! Nilinunua laptop mwaka 2008 ikiwa inatumia windows vista basic. Miezi michache iliyopita niliipeleka kwa mtaalamu mmoja akanishauri nibadilishe windows na akaniwekea windows 7. Cha ajabu ni kuwa baada ya kuwa natumia internet mara kwa mara kuna mabadiliko yametokea. Kwanza screen imebadili rangi na kuwa nyeusi lakini pia kuna maandishi yafuatayo yanajitokeza. THIS COPY OF WINDOWS IS NOT GENUINE. Nifanyaje kutibu tatizo hili, maana hata raha ya kuitumia laptop yangu imeisha. Na jamaa aliyenibadilishia hito windows, kila nikimtafuta ananikimbia.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ulimpa shilingi ngapi uyo mtalaaam

  kifupi alikuwekea window 7 ya mazabe . kama wewe ni technical IT user sio issue kubwa unaweza kudeal nayo na kuiondoa. zipo tools za kuondoka kero hiyo. lakini kuna risk za hutakiwi kuwa unafanya update ya windows usiyojua inafanya nini

  Jaribu kutumia youtube kuona kama unaweza kufuata maelekezo ya video na kirafiki zaidi ya kundokana na tatizo hilo

  Mfano  Vile vile unaweza kusoma site ya huyu mtaaalam http://www.geekmontage.com/how-to-uninstall-windows-7-activation-update-kb971033/ Ameeleza ambo yanyotakiwa kufanyika.


  Otherwise kama huna uwezo wa utundu mwenyewe mtafute mtaalam mwingine akupe ushauri na msisitizie akueleze kila risk na faida ya ushauri wake. Na kurekebisha tatizo fundi ataatumia moja ya njia zilizotajwa hapo kwenye link hapo juu au kwenye hizo video za youtube

  sometime cheap can be expensive espcially if u have no techincal competency
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu Mtazamaji! Kifupi ni kuwa alinilamba 15,000. Nitatekeleza ushauri wako. Thanx million times
   
Loading...