Msaada wa setting ya internet kwenye simu ya LG

na je ukitaka kujua silio namba unafanyaje kwamfano nokia inafamika je LG unafanyaje?
 
Unatumia mtandao gani?
Kama voda
A> andika wap acha nafasi jina la simu acha nafasi model kisha tuma 15300,
B>au tuma tarakimu nane za mwanzo za imei no ya simu yako kwenda 15300.

Tigo fuata utaratibu A kama voda kwa kutuma kwenda 500
 
Na irtel unafanyeje? nikituma hawaniletei setteng nilitaka kuunganisha mwenyewe, je haiwezekani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom