Kumekuwa na maneno mengi mitaani juu ya umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua watu wengi wakisema ni umeme mdogo na hautoshi.Fikra hizi si za kweli, umeme unaozaliswa na solar panels unatosha sana...
AVO28
Kwanza heshina ziende kwa bloggers wote wakubwa kwa wadogo ndani forum hii, nimekua nikisoma mada na comments na zimekua zikinifunza vitu vingi tu,
Historia yangu katika blogging ni ndefu...
Huko nyuma kupata blue tick ilikua ni ishu, lazima uwe maarufu sana ama uwe na followers wa kutosha ana kiongozi wa siasa ndio ulikua unapata blue tick. Kipindi hicho kupata blue tick ilihitajika...
Kheri ya Mwaka Mpya Wakuu , Samahani Nahitaji Msaada kama Kuna namna Ya Kuirudisha Tena WhatsApp Hewani Ya Namba Ambayo imepigwa Permanent Ban WhatsApp .
Kama kuna Mtu Anaweza Naomba Msaada Wake...
wakuuu naomba msaada hii tv ni tcl kama smart ila ina youtube za kichina yan kila kitu hata movie za kichina ni muundo wa smart msaada mana naona sielew ni feki mwanzo mwisho mana ni full kichina
Wanabodi,
Heri ya Pasaka,
Mara moja moja huwa ninatembelea Kituo cha TBC kwa shughuli zangu, leo Jumapili ya Pasaka nimepita pale na kuushuhudia bonge la OB Van mpya ya Kufa Mtu ikitua TBC...
Katika maisha yangu, tangu nianze kufanya kazi kama web developer sikuwahi kubahatika kufanya kazi na mtanzania yeyote mbali na ile task ndogo ya Mkaruka ambayo aliileta hapa jamvini inayohusu...
Wakuu habari za mida hii, Nina app yangu tayari ipo Play store ila nahitajj kuweka ads za Facebook ila nimeshindwa, mfumo wa app unahitaji matangazo ya Facebook yaunganishwe kupitia iron source...
Ni ukweli makampuni mengi ya simu yaana ushindani mkubwa sana na kila siku wanapenda kuwaletea update mpya Ili kufanya simu zao ziwe bora zaidi kiulinzi na vitu vingine.
Lakini hapo hapo...
Wandugu habari
Natumia iphone8 shida nayopata ni Mwamba nikiwasha data huwa unapata sana joto… tatizo inaweza kuwa nini wajuzi wa mambo
Naomba msaada wenu
Hello wajuzi wa mambo,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, kutokana na hali ya hewa nafikiria kufunga mfumo wa AC nyumbani (sebuleni) kwa kuanzia.
Hata hivyo nimekuwa nikisikia mengi, mf; AC...
Wapendwa naomba mnisaidie filta nzuri ya camera ya iphone!
Naona wenzangu wakipiga picha zinakua nzuri ila mie na iphone yangu natoka kama nilivyo!
Naomben msaada nidownload filter moja matata...
Salaam wanajukwaa wenzangu,
Nimekuwa nikitumia startimes app kuangalia matangazo ya mpira live lakini napata changamoto ya kuona picha ndogo kwa sababu sipati full screen, nifanyeje wadau? Mwenye...
Redio ya kwanza inayotumia Mfumo wa Mawimbi ilianza kurusha Matangazo Mwaka 1895 baada ya Mvumbuzi Guglielmo Marconi kutoka Italia kufanikisha zoezi la Redio hiyo kusikika katika eneo la Kilomita...