mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,287
- 1,855
Katika maisha yangu, tangu nianze kufanya kazi kama web developer sikuwahi kubahatika kufanya kazi na mtanzania yeyote mbali na ile task ndogo ya Mkaruka ambayo aliileta hapa jamvini inayohusu blog ya ajiraalert nb: mimi si mtegenezaji wa hiyo blog bali nilirekebisha tu kisehemu kidogo, ataeleza mkaruka mwenyewe akipenda, na hakuna hata siku moja niliwahi fuatwa PM na mtu serious kwa kazi ya web development, in majority nimebahatika kufanya na watu weupe tena remotely.
Kifupi tuache hisia zisizo na maana kwakuwa hatuna ushahidi, wapo watu wengi wamekuwa wakija pia PM nawasaidia bila malipo mahali walipokwama sasa kama kuna mtu niliwahi mtapeli kwa lolote alete ushahidi hapa, naomba Mod msimpigeban wala msifute chochote kutoka PM kitakacholetwa na wadau hapa.
Ahsanteni.
Mlolongo na chilubi I'm a real developer msisite kunitafuta popote pale kikazi zaidi mimi sio matthew
refer
Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?