Iphone8, nikiwasha data inaata sana moto shida ni nini?

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,244
1,180
Wandugu habari

Natumia iphone8 shida nayopata ni Mwamba nikiwasha data huwa unapata sana joto… tatizo inaweza kuwa nini wajuzi wa mambo

Naomba msaada wenu
 
Wandugu habar…/natumia iphone8 shida nayopata ni Mwamba nikiwasha data huwa unapata sana joto….tatzo inaweza kuwa nini wajuzi wa mambo… naomba msaada went

Battery imeshakwisha nguvu,tunakimbilia kuangalia BH bila kujua zipo mpaka za kuboost.

Nenda kkoo kabadili betri original.
 
Mkuu ipo ios gani?
Jaribu ku update kama bado unatumia version ya zamani
Pia update app zote

Kama shida bado ipo fanya backup kisha hard reset itafuta app na settings zote na kuwa kama ilivyotoka kiwandani kisha washa data na uitumie uone kama itapata moto, ikipata moto hapo tatizo linaweza kuwa betrii
Isipopata moto anza kuinstall app moja baada ya nyingine huku ukiitumia kubaini ni app gani inaweza kuwa sababu
 
Shukuran mkuu… ntafanya hvyo
 
Back
Top Bottom