Tambua haya kuhusu ku-update simu yako

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
775
2,395
Ni ukweli makampuni mengi ya simu yaana ushindani mkubwa sana na kila siku wanapenda kuwaletea update mpya Ili kufanya simu zao ziwe bora zaidi kiulinzi na vitu vingine.

Lakini hapo hapo wanasahau kwamba kuna changamoto ambazo watu wengi wamekutana nazo baada ya kuaupdate simu zao.

Kwenye simu kuna vitu viwili yani hardware na software kitaalamu inatakiwa hardware na software kwenye simu inatakiwa viwe ni vitu vinavyo endana. Na kuna baadhi ya chip za simu zinakuwa na kuwa uwezo wa kupokea update zaidi ya iliyopo kwenye simu kwa mfano kama simu yako ilitoka na android 12 hiyo inaweza kuishia android 15 na makampuni mengine huwa hawatoi update kabisa.

Kwasababu ya kuogopa gharama ambazo zinaweza kujitokeza baada ya kuupdate.

Kwanza ifahimike kwamba simu yako wewe sio mmiliki peke yako hata walioitengeneza ni wamiliki. na wanaweza kuipandisha simu yako au kuishusha kiubora wa camera kukaa chaji na speed nk.

Na ifahimeke kwamba sio kila simu inayotoka inakuwa ni bora sana kuliko iliyo pita ila wanachofanya wanauwezo kuishusha moja Kiubora kuipitia update ili nyingine iwe bora kuliko nyingine.
 
Kuna kitu ulitaka kutufumbua ila umeamua kuishia njiani natamani uendelee ili tupate kile ulichotaka kutujuza.
 
Back
Top Bottom