Naomba anayejua kutengeneza matangazo ya Facebook Kwa kutumia iron source anisaidie

Mboju

Member
May 4, 2021
41
79
Wakuu habari za mida hii, Nina app yangu tayari ipo Play store ila nahitajj kuweka ads za Facebook ila nimeshindwa, mfumo wa app unahitaji matangazo ya Facebook yaunganishwe kupitia iron source ndo niweke code za iron source kwenye app kitu ambacho nimeshindwa

Tafadhali mwenye uelewa na hili naomba anisaidie Hela ya usumbufu nitatoa.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom