Shezanempress
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 311
- 347
Wapendwa naomba mnisaidie filta nzuri ya camera ya iphone!
Naona wenzangu wakipiga picha zinakua nzuri ila mie na iphone yangu natoka kama nilivyo!
Naomben msaada nidownload filter moja matata kabisa niendane na warembo ya insta!
Asante in advance!