awamuyetu
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 329
- 166
Salaam wanajukwaa wenzangu,
Nimekuwa nikitumia startimes app kuangalia matangazo ya mpira live lakini napata changamoto ya kuona picha ndogo kwa sababu sipati full screen, nifanyeje wadau? Mwenye ujuzi wa hili naomba msaada [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app