tv ya tcl ina maandishi ya kichina mwanzo mwisho

dr lumilo

JF-Expert Member
May 26, 2016
271
66
wakuuu naomba msaada hii tv ni tcl kama smart ila ina youtube za kichina yan kila kitu hata movie za kichina ni muundo wa smart msaada mana naona sielew ni feki mwanzo mwisho mana ni full kichina
 
Dr gani hata kujieleza huwezi?
 
Mkuu jaribu kudownload app za kichina na kizungu inaweza kuwa msaada au ingia youtube tafuta unachotaka unaweza pewa muongo wa kubadili,ila nahisi umepigwa nimenunua tcl android smart nchi 43 850k na ipo poa hio ni mwaka 2020 sijaona tatizo lolote
 
wakuuu naomba msaada hii tv ni tcl kama smart ila ina youtube za kichina yan kila kitu hata movie za kichina ni muundo wa smart msaada mana naona sielew ni feki mwanzo mwisho mana ni full kichina
Download google translator kwenye simu, tumia option ya camera kutafsiri, nenda setting kisha tafuta option ya language halafu weka kingereza.
 
Back
Top Bottom