Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina simu aina ya sony ericsson w595 inatumia files zenye jar format. Tatizo kubwa linalonikabili ni kwamba kila nikitumia opera mini (4 au 5) inafikia kipindi hiyo opera inagoma kufanya kazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika kepeleka gurudumu la maendeleo mbele,timu nzima ya AfroIT inatarajia kuanza kutoa lactures mbalimbali za fani kedekede live.Kwa kuanzia tutaanza na zile za ICT na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Open the command prompt (Start->Run->type cmd->Enter) 2. Now type net user and hit Enter 3. Now the system will show you a list of user accounts on the computer. Say for example you...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SACRAMENTO, Calif. — In a cautionary tale for users of social-networking sites, a California man has admitted using personal information he gleaned from Facebook to hack into women's e-mail...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama unataka kujifunza visual basic bac post hapa uniambie unataka kujua nini specific!!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Nahitaji Software yoyote ya kumanage HotSpot ili kuwezesha customers kutumia given passwords ili kuweza kutumia wireless internet. Yaani mtu akiwa within range ya Network aweze...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
At the Tri Labs Blog, we have been having an Introduction to C Blog Series. We are here by asking you to join in. We will love to see you sharing you skills in helping others that are starting up...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VERY URGENT - PLEASE READ - NOT A JOKE PASS THIS ON! IF A PERSON CALLED SIMON ASHTON ( SIMON25@HOTMAIL.CO.UK ) CONTACTS YOU THROUGH EMAIL DON'T OPEN THE MESSAGE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huwa najishughulisha na computer hardware na software pamoja na related items.Kwa sasa najifunza jinsi ya ku-unlock bioss password za laptop zote.Nimefanya my homework na niko somewhere hivi but...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
iOS 4.3 - All The Details From The Developer Drop iOS 4.3 has arrived for those on the developer side of the iPhone platform but that doesn't mean that the rest of us can’t get a few sneaky looks...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu tayari nina unlock code za modem VOdafone mobile connect K-3565-Z lakini ni kiweka laini nyingine haidai hizo code, je nitaichakachuaje,wote mnakaribishwa
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Naombeni mnisaidie web ambayo naweza kudownload pc game au program ambayo nawezakutumia ili niweze kuplay cd za play station kwenye pc.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jamii,Katika kuhakikisha tunashirikiana kikamilifu,Timu nzima ya AfroIT imeandaa mazungumzo kwa njia ya mtandao(Webcasting) ambapo tutaongelea masuala mbalimbali ya ICT. Mazungumzo haya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
In the most simplistic terms, virtual memory is using disk space to extend physical memory size. Basically what the computer does is it takes a small chunk of your hard drive, and treat it as...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wenzangu mliombele kwenye swala zima la Simu za mkononi Which one i should Choose HTC HD7 Vs Blackberry KAMA USHAWAHI KUTUMIA Zina matatizo gani? VS
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada:Ninatumia simu aina ya iPhone, ni mwezi sasa imekuwa na tatizo la kutotambulika kwenye computer, nimenunua new cables, lakini haijasaidia, i used to charge with my computer, lakini sasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani nimefanya kila niwezalo, nimegoogle nimedownload kila kitu!!! lakini bado.. computer yangu niki shut down ina hang tu hapo kwenye black screen afta imeshasema Shutting down. Yani nikitaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inawezekana pitio la mjadala uliopita ukawakanganya watumiaji wa kawaida, likabaki kuwa la akina DrPhone, Calvin Power na wenzao waliobobea kwenye nyanya hizi. Ifahamike Vodafone Mobile Connect...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina shida na Drivers za Desktop, Dell OPTIPLEX 755,kwa anayeweza kunisaidia nitashukuru sana
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau kuna taarifa nimezipata kuwa ifikapo sa sita usiku wa leo itabidi tuzime simu kuna mionzi inapita. Hii ni Kwa wale waliopo tz. Wenye habari zaidi tuambiane.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…