Hii modem ya vodafone mobile connect

Dansel

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
249
59
Wakuu tayari nina unlock code za modem VOdafone mobile connect K-3565-Z lakini ni kiweka laini nyingine haidai hizo code, je nitaichakachuaje,wote mnakaribishwa
 
Kuna bandiko humu jamvini linaeleza, hebu litafute.

Ila kwa kifupi hiyo modem yako ni ya ZTE na hizi zinakuwa-anlokd kwa kubadili ISO yake na kuweka unlocked one (eg ZTE Join Air)
 
Wakuu tayari nina unlock code za modem VOdafone mobile connect K-3565-Z lakini ni kiweka laini nyingine haidai hizo code, je nitaichakachuaje,wote mnakaribishwa

hiyo kitu ni kwa modem za Huawei tu, Hbu ichec vzuri modemu yako nauniambie Lazima itakuwa ZTE tu so tafuta jinsi nyingine y aku unlock.
 
Yaaap mkubwa nimeona kuna lebo ya ZTE sasa nitaichakacuaje nielekeze
 
Wakuu tayari nina unlock code za modem VOdafone mobile connect K-3565-Z lakini ni kiweka laini nyingine haidai hizo code, je nitaichakachuaje,wote mnakaribishwa

kama ni zte-k3565z inaweza kufunguka,uhakika ninao kwasababu nimewahi fanya hiyo kitu,sema unabidi uwe makini kwasababu hii program inataka umakini kidogo!kama kuna yoyote mwenye uzoefu zaidi yangu anaweza kuongezea mawazo yake!
binya-http://www.dc-unlocker.com/download/soft.php?file=soQEFbl
au-http://www.dc-unlocker.com/downloads/get/soQEFbl
 
Nimeijaribu na nimeonamafanikio kwa sababu SIM STATUS inaonesha iko unlocked sasa kwa hiyo nikitaka kutumia airtel inabidi nitafute software zake au inakuwaje mkuu
 
umefanikiwa?
Nahisi hivyo kwa sababu nimesoma kwenye link aliyotoa Binmgen hapo kwamba ukiingiza laini nyingine ukakuta kwenye hiyo program ya Dc unlocker inasema SIM STATUS unlocked basi tayari inapiga laini zote kesho ntajaribu kuchukua software za airtel ili nione inakuwaje
 
Nimeijaribu na nimeonamafanikio kwa sababu SIM STATUS inaonesha iko unlocked sasa kwa hiyo nikitaka kutumia airtel inabidi nitafute software zake au inakuwaje mkuu

Kaka mkubwa nimedownload hii Dc-Unlocker.nilijaribu kuweka lsim card ya airtel kwenye modem.Ikafunguka mobile connect nikaipiga chini nikafungua Dc-unlocker nikaenda kwenye detect ikaniambia No CARD.Naomba procedures sahihi za kukichakachua hiki kidude salute mkuu.
 
Weka laini hiyo ya airtel alafu ukiifungua hiyo DC unlocker uende kwenye SELECT MANUFACTURER unachagua ZTE MODEMS then kwenye SELECT MODEM acha autodect then click search simu modem yako itaditect, modem ikishakuwa Ditected angalia kwenye hayo maelezo kwa chini utaona SIM STATUS kama ikiwa Locked nenda unlock na ukiclick hapo then kwa chini ya unlock utaona enable diagnostically unaclick hapo tena mkuu,Kama SIM STATUS ikiwa unlocked nenda direct kwenye Enable diagnostically. Baada ya hapo itakuwa unlocked sasa ukitaka kutumia Airtel tumia program inatwa Join AIr idownload kweny hii link http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rar
 
hii ndio mana halisi ya jukwaa hili kupeana maujuzi nafurai kuona unapotoa maelezo sahihi baada yakupata maelezo hapa hapa bigup mkuu
 
teh teh Drphone maujuzi yenu haswa sasa na mimi nimeanza kuwa mwalimu hahha,
 
Naomba nirudie tena modems za zte vodafone (k3565-z) hazijafungwa narudia tena hazijafungwa tatizo ni ile software ambayo imeingia kwenye computer yako ya mobile connect ndio hairuhusu line tofauti na vodacom. so kama hutaki kuflash modem yako install tu joinAir then weka modem yako ikiwa na line ya airtel. hakikisha drivers za modem zipo installed.( zinakuwa installed pale ulipo install vodafone mobile connect maana kwenye join air hakuna drivers) just instal join Air in your pc mambo mengine kushnei
 
Back
Top Bottom