HotSpot Software. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HotSpot Software.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Jan 15, 2011.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Salaam wakuu,
  Nahitaji Software yoyote ya kumanage HotSpot ili kuwezesha customers kutumia given passwords ili kuweza kutumia wireless internet. Yaani mtu akiwa within range ya Network aweze kuconnect bila matatizo, lakini anapotaka kuaccess kurasa yoyote kwenye internet inamdirect kwenye login page ambayo inamuomba user name na password, kama vile antamedia hotspot; nikipata iliyo full na funguo zake, ama isiyo ya kulipia nitashukuru sana.
  Natanguliza shukrani zangu za kweli,
  Wasalaam,
  Mjomba Amoeba.
  JamiiForums
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  halafu hio software utatumia kwa biashara au?
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Lengo lilikuwa kuweka huduma hii kuwa BURE kwa watu wateja wote! Lakini nimeona wateja wanaofika kunywa maji na laptops wameongezeka, naukichunguza matumizi yao siyo fea! (heavy downloads-movies-music-software), matokeo net inakuwa slow na Potential customers hawapati haki yao! Sasa nimeamua kuwa Natoza Pesa, either watalazimika kununua passwords ambazoni timed- 12,3,5 hrs kulingana na mahitaji! kwa walioko mbali kidogo wanawez kununua kwa M-Pesa na kutumiwa password kwa meseji kama ataona tabu kuja kununua.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu angalia hiyo link hapo juu download.com ni sehemu nzuri ya kupata software sababu kuna comments za watu ambao wameshatumia hizo software kwahiyo unapata pros and cons kabla haujadownload
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimeelewa unataka kitu kama kinachoolezwa kwenye hizi link  Teh teh teh . Good luck
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nimepitapita huko mkuu nikakutana na Connectify, nitakupa majibu nikiijaribu. zingine naona zinapungua features.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  :poa
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hii imetulia sana tena ndio hasa ya bure na functionalities zake ziko poa kama ilivyo firstpsot. but fistspot sio bure

  Mungu awazidishie hawa wanaotupunguzia ku pirate.
   
 11. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  then usiuze basi, control what people can do. block those sites. You got it free, now its ur part! play it right!

  "Selling internet is like selling water!"
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Im pretty sure the Internet he is using is not free.
   
 13. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  im pretty sure those people who develop software and made them free use effort! You cant pay effort u know!!!!
   
 14. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  U re right . I encourage people to donate for any free software they use . I do it my self . But i dont know the best way i can donate the pirated version of some few good software am using . U either buy it or pirate it

  lol
   
 15. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :A S thumbs_up:
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa sijakusoma vizuri mkuu, kumbe unamaanisha "software" ndy niitoe free navopewa au kuchukua free kwa developer: hiyo ni sahihi, na kutoa mchango kidogo kuapreciate ni sawa pia, lakini kugawa internet FREE kwa watu wote?!!!! mama yangu!!!!!!!, hiyo ngumu kidogo; mimi nalipia more than a thousand dollar kila mwezi halafu nigawe free? Labda kama sijakuelewa tena mkuu!
   
Loading...