Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wachina kwenye bidhaa wamesaidia sana ila upande wa usomi kama mfanyabiashara wametumaliza japo itakuwa na ubishi kwa wasiojua. Sifanyi biashara ya kuuza simu ila nimeliona kwa wanaofanya...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakika kama utakuwa huna hufahamu wowote ule wa kipengele cha Cosmology basi hutaweza kuelewa chochote kuhusu concept ya time travel nazungumzia ile theory ya kusafiri katika kipindi fulani cha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G. Kwa ripoti nyingi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania. Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na...
0 Reactions
6 Replies
598 Views
Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Hello Geeks! Leo tuongelee huu uwanja wa tech kama kichwa kinavyoeleza. Naamini kila mmoja anajua maana ya programming.Kwamba unaandika instructions katika computer(programs) ili iweze kukupa...
6 Reactions
2 Replies
876 Views
Salaam Nimenunua simu mpya kitochi kampuni ya bontel lakini nikiweka laini inaandika emergency SIM1 and SIM 2 nifanye Nini Kwa anayejua anifahamishe
0 Reactions
8 Replies
785 Views
Kama kuna fundi naomba aje anisaidie hili tatizo Tv imegoma ghafla kutoa sauti
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali. Kama tumesahau niwakumbushe ni serikali ndio inamiliki mkongo wa Taifa kupitia...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimepoteza password ya email, nimejaribu kutafuta nikaambiwa niweke namba ya Simu niliyoitumia kipindi nafungua email bahati mbaya namba pia nimeisahau. Naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani huyu nape anahisi Tanzania haipo katiba sayari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wameumbuliwa mchana kweupe
1 Reactions
4 Replies
614 Views
Za muda huu wakuu Nimekuwa nikiona simu mpya brand Kama iPhone , mfano iPhone 8 mpya full box mtu kapewa zawadi ..nilijaribu Google naona Ni simu ya muda Sana Je Ni refurbished hizo simu au...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Masada tafadhali, natatuaje tatizo hili? Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
561 Views
Inaleta onyo kuwa memory low, msaada please
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Nini shida msaada tafadhali ni lisaa sasa
0 Reactions
4 Replies
477 Views
Nawasilisha, simu yangu inanidai kui"update" ila nimeona nipotezee kwakuwa nitakutana na vikwazo vya matangazo ya lazima ambayo yatatokana na launcher na Apps zingine ambazo zitahusishwa kwenye...
1 Reactions
5 Replies
473 Views
Uwezi kufanikisha kila kitu kwa wanadamu.kipindi toleo la simu ya apple iphoneX kwa mara ya kwanza inatambulisha mfumo mpya wa ulinzi kupitia FaceID ilishawai kushindwa. Kushindwa kwake sababu...
0 Reactions
5 Replies
510 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…