Mediacom satellite receiver

Boanerge

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
686
180
Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na receiver version gani ipo vizuri. Naonba kuwasilisha. Asanten
 
Si ukanunue Digital TV upate za kibongo tu free?
 
kariakoo jengo la simba kuna uchochoro unazunguka kwa nyuma utakuta maduka kibao ya madishi, bei nilinunua 80,000 mimi, lakini ufahamu mediacom kampuni imeuzwa kwa wachina, hivyo hakuna tofauti kati yake na michina mengine.
 
Asante sana
 
mkuu habari. nna dekoda ya abudhabi naweza kupata channel gani?
 
Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na receiver version gani ipo vizuri. Naonba kuwasilisha. Asanten
Mmh hivi FTA bado zipo na zinauzwa na kutumika?
 
jaribu kuchomeka waya unaoingia kwenye azam kwenye hio abu dhabi halafu search chanell kama azam xtra au zile fta za azam kama emanule tv, Afroca tv na muvi tv ikikubali basi ipo fresh,
ok
satellite gani naweza kupata natgeo, cnn
 
Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na receiver version gani ipo vizuri. Naonba kuwasilisha. Asanten
sio lazima mediacom boss, nunua rcv yoyote ambayo ni mpg4 utaweza kupata chanel kibao
Ok asante
 
Back
Top Bottom