Msaada kwenye simu mpya

Msaada kwenye simu mpya

jangala22

Senior Member
Joined
May 20, 2021
Posts
165
Reaction score
141
Salaam
Nimenunua simu mpya kitochi kampuni ya bontel lakini nikiweka laini inaandika emergency SIM1 and SIM 2 nifanye Nini Kwa anayejua anifahamishe
 
Salaam
Nimenunua simu mpya kitochi kampuni ya bontel lakini nikiweka laini inaandika emergency SIM1 and SIM 2 nifanye Nini Kwa anayejua anifahamishe
itie kwenye mafuta ya taa alafu iache humo humo kwenye mafuta ya taa ndani ya siku kama mbili hivi ao ni vidudu virusi tu watakufa wote.

na line zote zitasoma na utaweza kuweka nyimbo na video kwenye simu yako bila kuweka memory card
1676317668352.jpg
 
Back
Top Bottom