Transport Database DevInfo Technology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Transport Database DevInfo Technology

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mimibaba, Apr 15, 2011.

 1. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dear members we have accomplished 90% of construction of Transport sector database. I am inviting you to visit www.transportinfo.go.tz. It is a database where you can access information in form of tables. graphs on the performance of transport sector. The indicators used are those agreed between DPs. the Ministry concerned and Transport subsector.

  I am just a consultant implementing the project. I will follow up your comments and respond to any queries and feedbacks. I will try to post the Power Point training file if you totally can not access the information.

  Hint. Once you have logged in just point the icons they will lead you to what you want. Please use one indicator and a few subgroups for better results

  It is an adaptation of Devinfo technology used for measuring MDGs. NOTE THAT IT IS A 100% LOCAL EFFORT

  Thanks.
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Is there a test account or do I have to do a complete registration?
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  During this period of testing you need to do complete registration. There is a gallery which is exclusive to your tables and graphs which you have generated governed by your registration. There is a need to have a feedback on visiters. I accept the idea of test account; I will ask the administrator to create one.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuna tatizo . Mi ushauri wangu ni huu.


  1. Hizo infomation zinatakuwa kuwa kwenye public domain . Hakuna haja ya kuwataka watu wafanye registration . MAy be toa sababu kwa nini mtu afanye registration.?
  2. Pili nadhani UI ya web inahitaji marekebisho. Japo na mimi najifunza. Mfano kwenye fomu ya registration kuna matatizo haya

  • Kipenngele cha 4 gett password umekiweka kwenye resgiration why?
  • NImejaribu kuingiza registration nakuweka emal ggggggggg@gmail.com imekubali. So mwambie developer ajaribu kuekwa control fulani za ku verify a ku validate inputs.
  But again bado nasisitiza sioni kwa sababu gani mpaka mtu awe registered kuona hizo taarifa.
   
 5. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa maoni yako. Nimefurahi kuwa angalau umeingiza email ikakubali. Hilo ndilo lengo huna haja ya kuingiza email yako ya taarifa zako zingine za mawasiliano bali kwa ajili tu ya records zako mwenyewe kwenye database. Password unayoingilia nayo narudia ni kwa ajili ya kuaccess taarifa ambazo umegenerate kwenye database ambazo ni zako exclusively. Control na validation ya inputs itaondoa "public" access ya information.

  Kipengele cha 4 najaribu kujibu tu tuendelee kujadiri. Hayo maelezo siyo "standard" yamekusudiwa kumsaidia mtumiaji mpya. Hizi database zinazotumia technologia ya devinfo ni za UN kwa ajili ya indicator based information dessemination. Zinatumika na commuty yote ya UN. Lengo kuu ni ili mtumiaji awe na access ya taarifa anayoitaka kuhusu utendaji kwenye sekta ya uchukuzi. Hilo lengo linatofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine angetaka kuona pesa zinazotengwa kwa maendeleo zimefanya nini? Mwingine angetaka kuona kwenye sub sekta fulani hali ya mambo ikoje.

  Kikubwa zaidi ni tatizo la uelewa wa wananchi kuhusu umuhimu wa serikali kuwajibika na mafungu wanayopewa kutekeleza majukumu yao kwa kutumia takwimu sahihi. Kwa hiyo database hii inakusudiwa kutoa hiyo fursa.
   
 6. i411

  i411 JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  ovyooooooo kwanini lazima tu log in and regista is it private au poblic service. Siyo mnaleta madoido hewa
   
 7. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Taarifa utakazo dadavua ni zako haziwahusu watu wengine. Chochote utakachofanya humo na ukakihifadhi ni chako hakuna mtu atakichezea. Narudia tengeneza email nyingine tu hapo hapo wakati wa kulog in mbali na unayotumia kwenye mawasiliano yako uhifadhi taarifa zako. It is a public service which protects you from others with the information you generate.
   
 8. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh mie kuingia na kuona unaomba my FULL name hii naona ni uspy wa serikali kutaka kujua nani ame access data zao

  Kama mnataka watu wajue na ni public info na isaidie wananchi sionio umuhimu wa kuweka process ndefu kujiandikisha

  Ungeomba e-mail na password tu ok afadhali ila mpaka FULL name hii duu na kahdalika

  Nadhani pia wengi wanajua kutumia mtandao siku hizi habari umeweka story kubwa

  Make it short ku access register e-mail na password na weka kidude cha kulogin au kuregister

  Hakuna haja ya storiiiiiiiii ndefu kama hivyo weka kwenye HELP section mtu akishindwa ndio aje soma

  Pia ukituambia nini haswa lengo la website hiyo in details n.k. Tutaweza kujaribu kuingia na kukushauri zaidi

  Oya wee
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu haya maelez yanarizisha kidogo na kulitwakiwa kuwa na malezo kama haya kwenye sehemu kama about this site. yaani ukisema hivi
  Mimi nitakuuliza what is DEv info?????? So unatakuwa kuna page inayotoa summary hata kwa tusiojua tuelewe nini maana ya dev info. So weka some useful link and menu to support usability za site.

  User interface
  ya hii website nadhani bado iko poor kwa kweli na inahitaji marekebisho. Otheriwse itamchukua mtu zaidi ya saa moja kujua waht he can do with the site and where to click what

  Narudia inagawa nami fani ya web sio mtaalam sana u need to observe USABILITY. Simaaanishi ivutie kwa rangi namanisha mpangilio na arrangement ya content.
   
 10. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hoja yako ni nzuri. Uliyopendekezwa yatafanyiwa kazi.

  Kifupi database hii inakupa access to information za utendaji wa Sekta ya Uchukuzi. Wewe ni mdau muhimu na mchango wako unathaminiwa. Endelea kudai mahitaji ya ku access database hii ndio mchango wako
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135

  you are right man, kuna topic moja tumeongea sana khs professionalism ya software developers wa tz ukiangalia hii system ni public based hayo mambo ya registration yanatoka wapi?????
  2. kama unataka watu wafanye registration main purpose itakuwa ni kwa wale wanaotaka kununua transport pass(note: siishi tz na huu ni mfano halisi niliouona)
  3. learn something abt human factors---->u must 1st convince people abt ur service(know how difficult it is for someone to register online 4 unknown site)

  4. naona human computer interaction principles nyingi zimekiukwa

  5. security------> nimejaribu kutumia njia mwitu 5 zote nimefanikiwa kulogin as admin

  6. system is'nt user friendly as if u've entered wrong email address or password it returns "MSG_24" a good programmer must provide guidance for such errors (what is MSG_24 ???)

  7. There's too much unnecessary info abt reg process

  8. sorry wakuu 4 mistyping errors as u all know leo ni weekend
  am feeling sorry to hear that this system is 90% complete
   
 12. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Iaonesha wazo lako ni zuri ingawa bado cjaelewa vizuri kuhusu hiyo kitu DevInfo! Tukirudi kwenye website yenyewe,User interface design is not cool,it's like a newbie web designer and that's his first project. Poor content accessibility & architecture. Notes nyingi za namna ya kuji-register ambazo c za lazima,almost everyone knows online registration procedures,only stepwise registration form is enough for those who need to do so,and the space for registration notes could have been taken by another content.

  Inshort the website is incomplete & not attractive at all & you may not get what you need! Labda uweke wazi kuwa unaomba watu wakusaidie namna ya kutengeneza website nzuri ambayo ina kiwango(good design & graphics,content accessibility,ect). Then baadae uombe watu wajaribu kuji-register ili upate maoni yao na hatimaye kujua kama users wanapata kile unachotarajia wapate. Also try to make some content to be public...!
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni valid email address, kwanini unataka isikubalike?
   
 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mambo ya registration yapo kukusadia wewe. Information yo yote utakayo generate itakuwa inatambulika na registration information yako. Mfano utagenerate information za hali ya barabara, mwingine atagenerate information za hali ya hewa na mwingine bandari, kwa hiyo kila mmoja wa hawa atapata information zinazomuhusu kwenye account yake. Kinyume chake zitarundikana pamoja iatakubidi uzitafute.

  Naomba rejea maelezo yangu ya juu unahitaji account for the information you access bila kuwa overwhelmed na information zilizokuwa generate na watu wengine

  This is an interface to a database(You search an indicator of your choice and generate a table, map or graph for your use and save it in the galary in your account for your use). Try to click the link below left you do not have such registration facility it is public but you do not keep the information generated.

  Ingekuwa vema ungezitaja ili tuboreshe kumbuka hii database ni ya kitafa kwenye sekta ya uchukuzi

  I am sorry but I think you extended your test. However under the circumstanses you were given a link to the developer otherwise it was a violation.

  Heading ya registraion instruction ni kwa ajili ya watumiaji wapya ambao wapo sio wakufikirika.


  Thank you for your valuable time and contribution. You have really helped.
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana kwa swali lako la Msingi. Devinfo ni kifupi cha Development Infomation. Imebuniwa na UN kwa ajili ya kutathmini (Monitor) Maendeleo ya Malengo ya Melenia (MDGs). Nchi wanachama waweza ku adapt technology hii kwa matumizi mengine ya tathmini mbali mbali zinazotumia Viashiria (Indicators). Ni Royalty Free Software. Sisi ni nchi iliyotumika kudevelop hii technology as of 1999 ikitwa TanInfo kutoka na mahitaji ya simple technology ya kutathmini afya ya watoto inayoitwa ChildInfo.

  Tumedeploy web technology kwa adaptation hiyo hiyo ili "public" iwe na full access to information na pia sababu nyingine ni urahisi wa ku update data zilizopo kutoka kwa wadau. Hatukukusudia ku launch web site yenye maelezo bali database yenye takwimu za kutosha kwa mahitaji ya wanaotathmini utendaji kwenye sekta ya uchukuzi. Kwa kweli ingetosha bila kuwa na maelezo ya registration na acknowledgement.  Pamoja na lugha kali nitajaribu kukujibu Kwana siyo web site kama web site watu wanazozielewa na kuzitumia. Interface yake bila maelezo na nembo ya Wizara ni login table. Tumeweka maelezo kwa sababu mbili 1. Kuwasaidia wadau wetu kuhifadhi taarifa wanazogenerate kwenye account zao. 2. Tuna acknowledge michango ya wadau ambao waliandaa hadidu za rejea kwa kutaka product hii.

  This is not a web site it is an interface to a database. Hata hivyo maoni yako yote nayaheshimu na nayazingatia.
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimekugongea Like lakini naomba ieleweka hii frontpage (Interface) ni kwa ajili ya kutengeza account ya mtumiaji ili ahifadhi taarifa zake anazogenerate kwenye database ili zisichanganyike na za watumiaji wengine. Nakushukuru tena
   
Loading...