Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
Wataalam wa program. katika kuendelea kujifunza kwa vitendo mambo mbali mbali ninataka kupata ushauri wa kitaalam, au source ya article nzuri au hata souce ya Video training zitazotuwezesha kutengengenza ama ku compile game katika tovuti. In short i want to have a web based multiplayer game
Binafsi sio mtaalam wa porgram kwa sana ndio maana nimejaribu jaribu lakini nimekwama.
So what do u want us to d ?
Objective ni kutengeneza au kurpogram game ya draft ambayo itawawezesha watu wawili walio kwenye net kucheza. gainst each other
Hata kama sio kuprogram from scratch basi wenye data watoe ushauri ni wapi nitapata free souce code za draft. Nimeweza kuapata baadhi ya free source codes kwenye tovuti kama sourde forge but nashindwa nifanyeje zifanye kazi. au kujua tatizo lake ni nini
Nataka niongeze sehemu ya game kwenye teknohama-Bongo - kablogweb kamazoezi
Natanguliza shukrani zangu kwa maprogammer na wataalamu wote.

- what do I need in terms of web server and client requirment kuwezesha hili?