Hii modem inaweza kunitia uchizi (K 3565 -Z ZTE)

Hii modem inaweza kunitia uchizi (K 3565 -Z ZTE)

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Tafadhari mwenye maarifa ya kutosha juu ya uchakachuaje wa modem ya Voda aina ya K3565 -Z, nimejaribu kuchakachua lakini kuna sehemu imenishinda, nilifanikiwa kuweka dashboard ya JOIN AIR na ilikubali line zote kwenye computer yangu tu, lakini kwenye computer nyingine inagoma inatoa message ya unknown device, baada ya ku-uninstall ile software ya JOIN AIR na kuinstall upya ndio ikagoma kabisa inasema unknown device sasa sijui nifanyeje? Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom