Windows 7 ultimate

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Mambo vp wakuu? naomba msaada wenu computer yangu haitunzi screen saver wala wallpaper kulikoni? nifanjeje, inawezekana ni coz of WINDOWS 7? please, help me.
 
Right Click on ur Desktop then select Personalize hapo utaweza kuchagua themes ziko nyingi tu na kama hazikutoshi pembeni kulia unaweza Uka-CLick Get more themes on line
 
Mkuu ni hivi: themes ninazo za kumwaga na zingine nilidownload kutoka net but nikiziappy hazikai, huwa nikizima computer nikija kuiwasha tena ile screen saver au wallpaper hairudi hata kama nilisave changes. Upo hapo?
 
usidanganyike na hizo downloadables, kanunue windows7 genuine instal kwenye mashine yako kabla mambo hayajaharibika zaid....ku activate ur windows copy kwa keys kama inavyokuletea ujumbe au crack actv itasolve kwa mda tu na tatizo litarudi...ukitaka ku format badae???? ni 150000-250000 per genuine windows cd kutegemea ni professional au ultimate
 
Natumia window xp 2000 ninayo window 7 nataka kuinstall lakini machine yangu haisomi DVD je,
  1. Naweza ku copy kwenye flash alafu nikainstall?
  2. Naweza kuistall na nisifute program nyingine (nikaup grade)
 
usidanganyike na hizo downloadables, kanunue windows7 genuine instal kwenye mashine yako kabla mambo hayajaharibika zaid....ku activate ur windows copy kwa keys kama inavyokuletea ujumbe au crack actv itasolve kwa mda tu na tatizo litarudi...ukitaka ku format badae???? ni 150000-250000 per genuine windows cd kutegemea ni professional au ultimate
Mkuu acha kumtisha bana, watu wamedownload pirate copy ya wi7 na wanatumia activation key toka ilipo toka hadi sasa na wanapata updates zote kutoka microsoft
Download uttorent na hifadhi kwa pc yako kisha nenda hapa Windows 7 and Vista Activator - 32bit / 64bit - Ultimate, etc... (download torrent) - TPB pakuwa hiyo kitu, kisha idabo kliki then activate mchezo kwisha, utakuwa na genuine windows installed in your pc na you will be able to receive all updates from microsoft
 
mkuu hata mimi nilikuwa na tatizo kama lako nilifuata njia hii nikafanikiwa na mpk sasa natumia PC yangu bila matatizo hii ni solution tosha.
 
Nimedownload torrent na kuinstall then nikadownload WINDOWS 7 ULTIMATE WITH SERVICE PARK 1 (DVD). Je Ndiyo yenyewe mzee? if yes then nifanyeje? naweza kuiactivate bila kuaffect existing files na programmes.? msinichoke wakuu.
 
Re: Windows 7 ultimate

quote_icon.png
Originally Posted by Muangila
mkuu hata mimi nilikuwa na tatizo kama lako nilifuata njia hii nikafanikiwa na mpk sasa natumia PC yangu bila matatizo hii ni solution tosha.

Nimedownload torrent na kuinstall then nikadownload WINDOWS 7 ULTIMATE WITH SERVICE PARK 1 (DVD). Je Ndiyo yenyewe mzee? if yes then nifanyeje? naweza kuiactivate bila kuaffect existing files na programmes.? msinichoke wakuu.​
 
Nimedownload torrent na kuinstall then nikadownload WINDOWS 7 ULTIMATE WITH SERVICE PARK 1 (DVD). Je Ndiyo yenyewe mzee? if yes then nifanyeje? naweza kuiactivate bila kuaffect existing files na programmes.? msinichoke wakuu.
Mkuu mbona nimeweka link, hebu ione vizuri nimejinukuu, hiyo ulio download ni windows7 nzima wakati haka ni ka software kenye kb kadhaa
Mkuu acha kumtisha bana, watu wamedownload pirate copy ya wi7 na wanatumia activation key toka ilipo toka hadi sasa na wanapata updates zote kutoka microsoft
Download uttorent na hifadhi kwa pc yako kisha nenda hapa Windows 7 and Vista Activator - 32bit / 64bit - Ultimate, etc... (download torrent) - TPB pakuwa hiyo kitu, kisha idabo kliki then activate mchezo kwisha, utakuwa na genuine windows installed in your pc na you will be able to receive all updates from microsoft
Kazi kwako click hiyo link utaenda moja kwa moja
 
Back
Top Bottom