help on better antivirus

Eliah

Member
Jun 8, 2009
32
0
naitaji ushauri wana JF,naitaji genuine antivirus that can save 100 users with minimum price
na je hizi kaspesky au norton zinazouzwa elfu 35,000 for single user na 60 kwa 3 users ni za kweli. help me pliz
 
Mkuu kwa situation yako utahitaji Avast ni free na ni nzuri sana hasa ukipata latest version, kwa upande wa Kaspersky ni kweli 3 user inatumika kwa 3 pc
 
Nafikiri Avira ni moja ya antivirus yenye uwezo mkubwa compare na Karpesky, inapatikana free na pia unaweza kununua online ni product ya German, try
 
Unajua hizi AV ni kila mtu alivyozoea ndio anakupa experience yake...kwangu mimi naprefer Kaspersky Internet security inaperform vizuri..unaweza kupata licence ya user wengi kwa mara moja
 
Unajua hizi AV ni kila mtu alivyozoea ndio anakupa experience yake...kwangu mimi naprefer Kaspersky Internet security inaperform vizuri..unaweza kupata licence ya user wengi kwa mara moja

Kaspersky Internet Security ni nzuri kwa kublock attacks zinazokuja through Internet, ni ghali kidogo ukilinganisha na hizo nyingine, swali ni je computer zake zipo based kwenye Interner?
 
Mkuu kwa situation yako utahitaji Avast ni free na ni nzuri sana hasa ukipata latest version, kwa upande wa Kaspersky ni kweli 3 user inatumika kwa 3 pc
Kuna wakati niliijaribu hii kama trial. Ilipokwisha hiyo trial imegoma kutoka na siwezi kuweka nyingine mpaka hii iondoke na imegioma kabisa. **** mtu mwenye utaalamu wa kuiondoa maana kalap top kangu kako uchi kabisa sasa
 
Sikushauri utumie hizo antivirus ni vyema ukatumia LINUX OS ya aina yoyote, kama vile UBUNTU,FEDORA,MEANT na nyingine nyingi, wala haziuzwi na ni bure kabisa, na haziwi affected by any virus ukitaka niambie ninayo fedora nitakutumia.
 
To my opinion unaweza tumia Karspersky Internet Security ni nzuri sana....awali nilikuwa natumia nyingine lakini nilielimishwa na mtu kutumia KIS kwa kweli ni nzuri sana na toka nimeanza kutumia niko salama maana awali nilikuwa na kazi ya ku-format now and then
 
Sikushauri utumie hizo antivirus ni vyema ukatumia LINUX OS ya aina yoyote, kama vile UBUNTU,FEDORA,MEANT na nyingine nyingi, wala haziuzwi na ni bure kabisa, na haziwi affected by any virus ukitaka niambie ninayo fedora nitakutumia.
Nadhani kutokana na theory ya virus ("virus is a program") huwezi kusema kua LINUX haiwezi kuingia virus, ila ukweli ni kwamba watumiaji wengi wa nyumbani ambao ndio wanaosumbuliwa na virus, huwa wanatumia OS kama Mac na Windows linux ni wachache---so pia watalaamu wengi wa virus (mbao ni vijana wasio na adabu vyema) hutoka katika kundi hilo hilo la users wa Windows na Mac--"Mara nyingi anaetaka kufanya biasha huenda katika mkusanyiko wa watu"---So mkuu virus kwa ajili ya LINUX wanatengenezwa kama kawa--Mfano Sarver ya Google ni LINUX mbona inakua attacked?---So choose better Antivirus h for better life.

Nagalia hii--kwanini iwepo?
avast! Linux Home Edition
BUT IT IS TRUE THAT LINUX INA UWEZO MKUBWA WA SECURITY THEN ANY OS--SO YOU MAY BE FREE FROM VIRUS BUT UWEZEKANO WA KUINGIA VIRUS NA AKACHAFUA UPO

That was my idea from my poor OS experince---Happy day
 
Tumia Microsoft Security Essentials in bure na inatoka Microsoft, hauhijati zaidi yahiyo.
 
Kuna wakati niliijaribu hii kama trial. Ilipokwisha hiyo trial imegoma kutoka na siwezi kuweka nyingine mpaka hii iondoke na imegioma kabisa. **** mtu mwenye utaalamu wa kuiondoa maana kalap top kangu kako uchi kabisa sasa

Google utapata avast removal tool unaiinstall inatoa kila kitu
 
Back
Top Bottom