help me please programmers.

suanet

Member
Apr 16, 2011
7
1
nimeshamaliza kuandika progam yangu, ila nataka niiweke kwenye cd ili watu wengine waweze kuinstall, nifenyeje? from the start to stop, please give the algolithim of that problem, thanks for your cooporation, together guys.
 
unamaanisha building au sio? IDE's zinakupa in built building capabilities... so inategemea, ulikuwa unatumia nini..
 
nimeshamaliza kuandika progam yangu
Unamaanisha tayari uko na executable file (.exe)? au uko na Source code ambazo ni complete program?

Kama ni .exe, so download setup builder hapa then let us know, we will direct you how to use it:
jrsoftware.org // Jordan Russell's Software

Kama ni source code, tuambie programming language gani umetumia ili tukuelekeze IDE au compler ya kutimia then utengeneze hiyo setup.

VILEVILE

kama una maana ya kutengeneza AUTRUN CD ya setup yako, let us now
 
Dah! mkuu unatisha jinsi ulivomdadafua mwenye tatizo(More goal oriented). Haka kadude ka Thanx cjui kamejificha wapi leo?
 
nimeshamaliza kuandika progam yangu, ila nataka niiweke kwenye cd ili watu wengine waweze kuinstall, nifenyeje? from the start to stop, please give the algolithim of that problem, thanks for your cooporation, together guys.

Nadhani suanet wewe bado hujaweza kufanya ulichokiandika - Ongeza maarifa zaidi halafu baada ya miezi sita rudi tukupe mwanga zaidi
 
Back
Top Bottom