Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Last week's security breach at Citibank was just the latest in a string of incidents that have rattled consumers: Sony, Lockheed Martin, and iTunes are also among recent high-profile targets...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Katika hali iliyonistua, maeneo ya soko la Segerea kulikuwa na mkandarasi anayeweka "headwalls" kwenye "culvert" jipya linalojengwa eneo hilo. Jambo la kushangaza ni kuwa, zege ilikuwa inamiminwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF nisaidieni. Natafuta a serious Internet Provider ambaye atani provide internet as a Proxy Server. Nataka aniuzie Bandwidths kwa ajili ya computer zangu 10. Kununua bundles ni ghali wala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu naomba niombe ushauri kidogo, kwa tanzania hii ni modem gani (shirika lake na model yake) nitakayoweza kubadili laini zote za CDMA kwa mfano zantel , ttcl na sasatel.? achia mbali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Angalia Google saivi 15/06/2001 saa 11.42 usiku-Live Total lunar eclipse !!! Me nawapa 5 google.
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Yeah!! sijakosea kuandika ni kweli kabisa kwa sasa Technology ipo mbali sana zaidi ya tunavyofikiria watanzania na madeni ya Dowance na Tatizo la TANESCO! OK... Kwa watumiaji wa UBUNTU sasa...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
habari za mida hii wanajf naomba kuuliza swali......................................asante hivi modem ya zantel naweza kuichakachua na kutumia line ya tigo na kusurf bila ubishi au kutakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuelewa maana ya maneno hayo hapo juu.Asanteni naomba kuwasilisha.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Natafuta "Recovery software", data about 50GB, hazionekani kabisa kwenye external Hard Disk. Msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Habarini wanajamvi. Naombeni tubadilishane mawazo ama kusaidiana inapobidi,.. Ni vp ninaweza ku unlock hii sim ya blackberry, previous network provider ilikuwa ni Bell Mobility U.S... nimejaribu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nataka Kujua ile Blog, Website ya Ikulu Mawasiliano, kwa nini hawaweki habari yoyote mpya? Mara ya mwisho kupost habari ilikuwa Friday, March 25, 2011, toka hapo inaonekana wameisusa Wenye Data...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamvi watu wanakuna vichwa sisi huku tuko busy na politicki.. waht can we do ? Anyway hatuwezi hata kushindwa kuwa mareporter wa habari nzuri za kiteknolojia. teh teh teh Haya jamaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Scientists in Japan have cured the agony of a long distance relationship. The internet kissing machine allows a couple to kiss even if they are thousands of miles apart. Kind of beautiful...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF mambo vp?Kuna kifaa fulani kinachotumika kusafishia rangi ya tv sikijui jina lake kinaitwaje niliwahi kukiona nchini Kenya kwa fundi mmoja kama miaka mitano iliyopita.Kifaa chenyewe ukubwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF!! Natumia moderm ya vodacom, siku za hivi karibuni imekuwa inakula fedha isivyo kawaida!! Awali nilipokuwa na outoupdate ya program mbalimbali hela ilikuwa haiendi kama sasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wana-JF habarini ya majukum, mwenzenu naombeni mnipe maelezo kuhusiana na shocks up zinazotumia umeme kwenye gari aina ya Toyota Amazon ya mwaka 2004, wiki iliyopita nilikuwa nimepeleka gari...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1. Dynamic CSS Kama unataka kuongeza uwezo wako wa CSS coding, you need to learn to write dynamic CSS. Most of the dynamic CSS adds nested riles, variables, mixins, selector inheritance...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Salaam wana jf,nimekuwa naona watu wanazisifia hizo modems za safaricom kwamba unaweza tumia line ya mtandao wowote ule hapa tz.swali ni kwamba,zinauzwa maduka gani hapa dar,au ni mpaka kenya tu?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naoma msaada wa moderm yenye speed kubwa kuliko zote. Na jinsi ya kulipia kwa unlimited katika mitandao yetu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…