Ikulu Mawasiliano; Blog, Website Kunani !!!!

Ikulu Mawasiliano; Blog, Website Kunani !!!!

Kikarara78

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
1,495
Reaction score
904
Nataka Kujua ile Blog, Website ya Ikulu Mawasiliano, kwa nini hawaweki habari yoyote mpya?
Mara ya mwisho kupost habari ilikuwa Friday, March 25, 2011, toka hapo inaonekana wameisusa
Wenye Data, Habari Mtujuze au wameanzisha Blog, Website nyingine
Nawakilisha
 
Tena ilitengenezwa kwa gharama ya dollar 300k za walipa kodi
 
Muhimili, Hii Website ya www.wananchi.co.tz haipatikani, inakupeleka kwenye mwananchi blog, website
Ina maana hawataki sisi tupate Habari za Rais, Ikulu na Serekali yao ?????
 
Tena ilitengenezwa kwa gharama ya dollar 300k za walipa kodi
Matumizi Mabaya ya Kodi zetu, Blog, website yenyewe haifanyi kazi, hawatuabarishi habari zozote, au hawataki tujue habari za Rais na Serekali yetu?
 
Back
Top Bottom