Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Je, nikinunua modem ya Tigo inayouzwa TSh. 30,000 nitaweza kui-unlock na halafu ikafanya kwa line zingine kama modem za voda na airtel BILA KUPUNGUZA SPEED? Kama jibu ni ndiyo nitawaza kununua...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
(CNN) -- Hackers apparently broke into the FoxNews.com's Twitter feed for political news early Monday and used it to announce -- falsely -- that President Barack Obama had been assassinated...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wakubwa habar zenu,ninaombeni msaada wenu jaman,ninatumia iphone 3GS,lakini tangu jana hai display chochote nikipiga namba ynagu inaita lakini kwenye screen hakutokei lolote,ndio imekufa au kuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimesoma hii habari nimejikuta nacheka sana hasa hilo neno la Performnce enhencing code. kumbe sio drugs tu mpaka code teh teh teh From Barry Bonds to Lance Armstrong, many of the sporting...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, nimepoteza handset yangu ya Blackberry, ipo namna yoyote ya kuitambua inapotumika au kuifunga kabisa ili jamaa aliyeipata asiwe na manufaa nayo?. Providers wangu wanasema wao wananaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nina Porn-Blocker ambayo ime-expire, sasa inablock hata programmes zangu za kawaida, nataka kuiunistall lakini nimesahau password, naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa please kwa anaefahamu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM: - ArcGIS DESKTOP 9.2 -ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION -CINEMA 4D v12 -PINACLE STUDIO 14 HD -AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu, nimepoteza handset yangu ya Blackberry, ipo namna yoyote ya kuitambua au kuifunga kabisa ili jamaa aliyeipata asiwe na manufaa nayo?. Providers wangu wanasema wao wananaweza kufunga sim...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
simu yangu ni Nokia N95 8gb. Toka juzi najaribu kujiunga na ofa ya Dstv kupitia Vodacom ya kuona matangazo ya bure ya TV lakini kila ninapojaribu kujiunga napata maelezo ya 'Not enough Bandwidth'...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Viongozi naomba msaada wenu wa kupata drivers kwa ajili ya "HIGH SPEED EDGE/GPRS MODEM maximum transmitting speed 460.8 KBps". Nimejaribu bila mafanikio kui-google.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kat Hannaford - Antisec, the marriage between similar-hearted outlaws at Anonymous and LulzSec, hit several companies-and police squads!-websites since...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Haya tena kwa wale wanaopenda Laptop au Desktop zao ziwe na Macintosh kama mimi haya njia ya Ku i Format Computer yako hii hapa chini How to Install Mac OS X on a PC (Without Using a Mac)...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nina nokia e50, na nlikuwa nataka update version ya os yake. Nmejarib kila njia ikiwamo ktk site yao ya nokia lakn nmeshndwa. Kwa yeyote anaejua jns ya kuupdate aniguide plz.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kama nataka kubadili my username kama ilivyo kwenye facebook nitafanyaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
3g capable phones. Head to www.wap.vodacom.co.tz and watch 5 dstv chanels free of charge!
0 Reactions
4 Replies
7K Views
..waungwana naomba msaada kwa yeyote aliye na driver whiz reg keys...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa popote pale ambapo hupati jamiiforum na mitandao mingine ya kijamii kama youtube facebook nikimaanisha baadhi ya nchi wamezuia tumia hii software natumai itakusaidia najua mtauliza kwanini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Za saa hizi jaman?? naomba mnisaidie serial number za hizi program Reg Tweaker na Agronis Disk Director 11 home plz msaada jaman???
0 Reactions
0 Replies
833 Views
hi kitu inaitwa billing address kwenye credit card ndo nini? ni the same na ile posta au?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msaada mwenye uwezo wa unlock codes tv mfano satellite tv 36.0e kuna chanel zilizo fungwa kwenye BISS na NAGRAVISION na betacraypt inasemekana uwezekano upo wa kuzifunguwa Kuna-cryptoworks...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom