Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 183
Katika hali iliyonistua, maeneo ya soko la Segerea kulikuwa na mkandarasi anayeweka "headwalls" kwenye "culvert" jipya linalojengwa eneo hilo.
Jambo la kushangaza ni kuwa, zege ilikuwa inamiminwa bila ya uwepo wa consultant hivyo kutoa mwanya kwa mkandarasi kufanya kazi dhahifu.
1. Zege ilikuwa inashindiliwa kwa kibao bila ya kutumia concrete poker.
2. Chuma ilikuwa inawekwa kwenye zege baada ya kumimina kiasi fulani cha zege.
3. Chuma ni chache mno kulinganisha na uelewa wangu juu ya chuma kinachohitajika kwa ajili ya headwall.
4. Chuma ni dhahifu mno.
5. Formwork ni ya kuokoteza.
6. Zege limeshaanza kunyauka kabla haijamiminwa (moisture content - low)
Angalia video hii kwenye attachment ujiridhishe. Sitaki maswala ya kuulizana data source.