Moderm za Vodacom jamani!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,376
Habari wana JF!!

Natumia moderm ya vodacom, siku za hivi karibuni imekuwa inakula fedha isivyo kawaida!! Awali nilipokuwa na outoupdate ya program mbalimbali hela ilikuwa haiendi kama sasa!!

Nimecancel outoupdate zooote ila bado hela inakwenda kwa speed ya ajabu, naweka bando ya 120MB nafungua JF home page tuu inanambia umemaliza bando!! Nimebadili line lakini bado tuu

Leo ni siku ya nne naweka 120MB after few hours nikiwa nimefungua JF tu inanambia bando kwisha!!

Hii ni mbaya sana kwa voda, sitaki kuamini ni computer maana nimeformat tenaa
 
Habari wana JF!!

Natumia moderm ya vodacom, siku za hivi karibuni imekuwa inakula fedha isivyo kawaida!! Awali nilipokuwa na outoupdate ya program mbalimbali hela ilikuwa haiendi kama sasa!!

Nimecancel outoupdate zooote ila bado hela inakwenda kwa speed ya ajabu, naweka bando ya 120GB nafungua JF home page tuu inanambia umemaliza bando!! Nimebadili line lakini bado tuu

Leo ni siku ya nne naweka 120GB after few hours nikiwa nimefungua JF tu inanambia bando kwisha!!

Hii ni mbaya sana kwa voda, sitaki kuamini ni computer maana nimeformat tenaa

120GB au 120MB?
 
Try using Bomba7.., unlimited per week kwa 10,000/=; hiyo ndo ninayoitumia mimi ingawa kuna saa speed inaleta issues lakini lately sio mbaya na ninadownload programs za kutosha na kuangalia movies as well
 
kuformat komputa sio suluhisho. hata kama umeformat bila shaka umeweka program moja wapo kati ya uzipendazo. modem kuwa inakula MB kiasi hicho tena kwa jamii forum tu hiyo ni noo. kuna software moja au zaidi haujaishtukia. jaribu kwenye komputa tofauti na yako uone
 
inawezekana autoupdate setings za ur os zpo on hence automaticaly inadetect and instal updates... check ur settngs in action centre if u are usng windows
 
hamia kwenye marcopolo bana achana na hivyo vi combi ona sasa!! unabanwa mbavu hadi unashindwa kuhema, Njoo huku ule maziwa na asali 2500/- tu unaenjoy hadi unakereka speed ka apolo njoo, njoo, njoo, nafasi kubwaaaa inakusubiri weye unae taabika.
 
Nahisi kuna jinsi ulivyoseti lkatika ine. Tumia modeim ya safari com ambayo una uwezo wa kutumia lindeuitakayo itakusaidia.
 
Pole sana Nahisi kuna jinsi ulivyoseti lkatika ine. Jaribu kubadili line Tumia modeim ya safari com ambayo una uwezo wa kutumia lindeuitakayo itakusaidia. Kuhusu unlimited downloading inakuaje naomc msaada.
 
Kama watu wa voda mpo humu connection yenu inakatakata fanyeni iwe stable mtatukimbiza wateja wenu
 
Jaribu kubadilisha browser unayotumia kuperuzi JF!! Nina hakika unatumia browser ambo inajiupdated au kutafuta addons bila wewe kujua!! au kuna plogram unyotumia inajiupdate bila wewe kujua.
 
Ni pm nikuchakachulie hiyo modem utaweka line yoyote ile kwe hiyo modem na kwa gharama ya 2500 tu kwa mwezi!! Haya ma kampuni kwanza hayalipi kodi stahiki! Lazima tutembelee nyota zao alahaaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom