Re; Unlocking BB 9800 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re; Unlocking BB 9800

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by luvcyna, Jun 11, 2011.

 1. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Habarini wanajamvi.
  Naombeni tubadilishane mawazo ama kusaidiana inapobidi,.. Ni vp ninaweza ku unlock hii sim ya blackberry, previous network provider ilikuwa ni Bell Mobility U.S... nimejaribu kupitia gsm forum lakini naona bado haitatui tatizo, nina imani humu wapo great thinkers wenye uwezo wa kulitatua hili,.
  Nawasilisha Maombi yangu.
  Thanks in Advance.
  Luvcyna
   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni possible mkuu, unaweza ukatoa hiyo software ukaload software mpya naukaweza kuitumia kwenye mitanadao yetu ya hapa bongo(kama upo bong). Ukiwa intersted na hii solution nitakuwekea maelezo yake zaidi
   
 3. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nami nina tatizo kama hilo. Nina BB Storm II unlocked ya Verizon. Hapa Bongo nimeweza kuitumia kama Simu ya kawaida lakini Email service kupitia Blackberry haifanyi kazi. Nimejaribu mitandao yote. Naomba msaada
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Toa link ya solushen gani za gsmforum ulizofanyia kazi ukashindwa. Inawezekana umejaribu right solution for the wrong problem
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Nenda vodacom hapo unaweza kutumia kama BIS lakini mitandao mingine kama Aiirtel haifunguki
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kumbuka hii simu iko locked, kureload new OS haiku remove IT policy... Pia lazima tuelewe utaalam wa muhusika kabla ya kumpatia hizo Hizo njia za ku-unlock simu yake, maana kuna mda hapa jukwaani aliomba tumpe maelekezo ya namna ya ku-jailbreak Iphone yake, teh teh teh! ulimwagia maujanja mwisho wa siku aliibreak Iphone yake hadi leo anatulaumu eti tumemuulia simu yake, kumbe alikuwa anafanya kitu ambacho akijui!

  Pia Research In Motion, wamekuwa wanjanja sana siku hizi kuanzia matoleo yao ya 2008 kuja juu wameweka security kali sana ambazo,usipo kuwa makini unaweza ku-unlock BB yako na mwishowe ikawa na tatizo la network na ukashindwa kuitumia.
   
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, siyo rahisi kihivyo, hawezi kutumia BIS BES kwa kuwa simu yake uko ilikokuwa inatumika mwanzo hawaja release PIN yake....Na hasipo wasiliana na Mobile operator mwanzo ambako simu yake ilikuwa inatumika wai-release PIN yake kamwe hawezi tumia hizo huduma,Maana BB server inatambua hiyo PIN kuwa inatumika mwenye mtandao kampuni ya mwanzo......voda/tigo,Airtel wao ni njia tu ya kupitishia haya mawasiliano ya BB,
   
 8. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Iam interested Mkuu naomba msaada wako Tafadhali
   
 9. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Mkubwa katika mabandiko ya gsmforum software nyingi walizo upload ni za tangu 2008 na ukijaribu kuzifungua mfano from rapidshare unaambiwa they are no longer existed...eg. this one GSM-Forum - View Single Post - Download & Guide MFI Multiloader for blackberry unlock hapo utaona solution waliotoa ni ya kutumia MFI MULTILOADER setup ku unlock instead when you dont have the MEP codes or when U left with 0 trial in entering those codes.. and that is specifically my problem, i left with 0 attempt n i stil don knw the solution pliz help if U can
   
 10. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mkuu ila nadhani umenifananisha nadhani...ni kweli niliwahi kuomba msaada wa ku jailbreak iphone4 ila sikuwahi kumlaumu yeyote isipokuwa kushukuru kwani njia nilizopewa zililingana na uelewa wangu na nikafanikiwa. U might have confuse my ID Mkuu.. nathamini mchango wa wanajamvi kwani mara zote imekuwa na msaada mkubwa kwangu na nimefanikiwa katika mengi.. Nawashukuru tena kwa hilo.. ni kweli sina utaalam kivile ila naamini nina uwezo wa kupembua na ku implement guides ninazopewa na wataalam au kwa mwenye ujuzi na chochote japo kwa elimu ndogo ya IT niliyoipata as an option course wakati huo chuoni. thanks
   
 11. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umenielewa vibaya, sijasema kuwa ni wewe bali nimetoa mfano wa mdau mmoja hivi ambaye tuliwai kumpa msaada na mwishoe yakamtokea niliyo yasema hapo juu....
   
 12. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ni kweli kuwa hii software ni ya version 2.0 ya mwaka 2008 na haijawa upgrade hadi leo, hivyo BB za kuanzia mwaka 2008 kuja juu kufanikiwa kuzi unlock kwa hii software siyo rahisi. hii ni inafavya kazi vizuri kwenye simu za matoleo ya nyuma zaidi mfano series 81** hadi 88**haikuwai kufika 98** ambayo ndio series unayotumia... Nitarudi baadae na njia nzuri na rahisi zaidi, now niko barabarani naelekea Kigoma, nikifika nitaipandisha.
  [FONT=arial, sans-serif]
  [/FONT]
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Wewe ndo umekula kona hivyo ulishakimbia kwenye thread ama hizi za BB kwa gia hizo hizo. Teh teh teh teh . Kyoma vipi bana nshomile hawana longolongo.

  Any way elewa tunasuburi wengi hilo darasa. So usile kona this time.
   
 14. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  jaribu ipmart-forum.com under BlackBerry OS Tweaks..
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Aaah Mkuu, umenichekesha sana, eti nilikimbia, unajua kwa nn sikurudi kwenye ile thread? sababu alliyehitaji utatuzi alikula kona,ndio akajitokeza uyule jamaa mbishi ambaye aliniponda mwishoe akaomba kusaidiwa, ndio maana nilikula kona kubwa kabisa.....Mimi siyo Kyomo bana, akina kiomo ni Mfianchi!


  Nitarudi mkuu wangu usitie shaka.
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya kyoma mi nilikuwa nachungulia kule kila siku wapi. Lakini afadhali huku hata kama watu wanabishana tunaelimshana sio kama kule kwenye siasa

  Vipi hapo kigoma umefika website?
   
 17. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hebu tafadhali tupe maelezo zaidi, jee umeseti email akaunti sawa ? Kama umeiseti sawa jee unaweza kutuma email? ama huwezi tuma wala kupokea? Na inapokataa inakuja message gani? Simu yako ulivyonunua ilikuwa imesajiliwa na kampuni kutumia BES? jee unaweza kupiga na kupokea simu?
   
 18. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hilo tatizo la kwako inawezekana hujaiseti account yako inavyotakiwa jaribu kusoma hii thread utafanikiwa:
  Can't send email with my curve? - BlackBerry Forums at CrackBerry.com
   
 19. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Nashukuru 4 ur response mkuu..kwa mie tatizo ni simu kuwa locked na previous network provider so hai accept laini yeyote ya hapa bongo so U cant read the email no doing anything else unless Ur using wireless connection U can hav only internet access
   
 20. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Thanks much Mkuu U hv always be helpful, i'll try tht
   
Loading...