Modem mbili muhimu ya cdma na hspda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem mbili muhimu ya cdma na hspda

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paje, Jun 13, 2011.

 1. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wakuu naomba niombe ushauri kidogo, kwa tanzania hii ni modem gani (shirika lake na model yake) nitakayoweza kubadili laini zote za CDMA kwa mfano zantel , ttcl na sasatel.?
  achia mbali zile embeded modem ambazo huwezi kuweka line.
  hizi za HSDPA tayari ninayo ya tigo E153 ambayo inakubali laini za airtel, vodacom na tigo yenyewe.
  pia naomba kujua kwa sasa bei za modem za CDMA zinazotumia line ni bei gani pamoja na company husika.?
   
 2. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hakuna ushauri wowote wakuu...........????
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu ninacho weza kukwambia ni kuwa modem za sasatel za cdma ni sh 25,000/=
  Na kwa kawaida modem hizi za cmda mara nyingi uwa hazitumii sim card, sim card inakuwa programed in wakati modem inatengenezwa, ni sawa na kusema simcard inakuwa built in na hapa ndipo ugumu wa kuchakachua unapokuja.

  kwa kawaida simcard huwa zime tengenezwa kuweza kupokea mawimbi ya mtandao fulani tu. so how to remove programed simcard and then u program simcard ya mtandao mwingine ndani ya modem ambao nao inabidi hiyo program yako mpya ya simcard inabidi uende mtandao husika waiingize katika data zao ili iweze kutambuliwa na mitambo yao, it almost impossible.
  Hapo inabidi uwahusishe hadi mainjinia wa mtandao unao taka kuhamia.

  Anyway hackers bado wapo mitamboni wanajaribu kutafuta ufumbuzi, lets wait and see
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  thank u for the advice, ila modem ya sasatel ninayo. ndio hiyo embeded yaani built inn with simcard. kama ulivyosema, ambayo siwezi kutumia zile unlimited bundle za internet za sasatel, ukijaribu kujiunga wanakwambia hizi ni bundle zinazohitaji SIM card, ndio maana ninahitaji modem inayotumia simcard. ttcl wao nilienda kuongea nao, wakasema wanakuuzia SIM card kwa buku jero (1500) tu. na zantel wao line zao za cdma wanauza 10000 (buku kumi). ndio maana natafuta modem universal niweze kubadili line tu.
  nahitaji kuwa huru kwa mitandao yote kwani mara nyingi huwa nabadilisha mikowa. (nakuwepo safarini)
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Tatizo lingine mkuu ni hawa kastama kea wa sasatel hamna kitu, yaani wao wanajua kuuza tu, hamna kitu kama hicho walicho kujibu.
  Mimi natumia modem ya sasatel ya zamani na niliwauliza wakanambia aifanyi kazi kwenye windows 7 na wakati naitumia hadi sasa.

  Modem zote za sasatel ni built in simcard, ile sehemu kama ya kuweka simcard ni kwaajili ya memory card
  Sasatel wana bundel za aina mbili, kwanza kwa watumiaji wa modem, na pili kwa watumiaji wa simu kama modem

  Hizi ni budle kwa watumiaji wa modem

  modem.jpg

  na hizi ni bundle kwa watumiaji wa simu kama modem

  simu.jpg
  Kumbuka bundle hizi ni kwa watumiaji wa simu tu, ukitaka kuactivate kutumia bundle hizi kwa modem ndio unapata massage unayokwambia u need simcard maana hizi ni kwa watumiaji wa simu kama modem

  Kwa ufupi bundle za simu as modem ni
  unlimitedDay kwa sh 500,
  unlimitedweek sh 8000 na
  unlimitedmonth sh 30000
  Na speed yao wanadai hadi 153kbps, lakini ukweli ni kichefu chefu

  Na bundle za modem ni
  Speedday mb 40 sh 1000
  speedweek mb 2000 sh 5000
  Speedweek+ gb 1.5 sh 7500, hii ndio ninayo tumia
  Speedmonth mb 300 sh 10000
  SpeedMonth+ gb2.5 sh 30000
  Hii speed ya matangazo ni hadi 3.1 mbps, speed yake angalau inaridhisha

  Tembelea site yao hapa http://www.sasatel.co.tz/ kwa habari zaidi
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ahsante kwa ushauri. hiyo ndio ninayozungumza mie kuwa ukiweka simcard kwenye modem au modem inayotumia simcard ndio inaonekana kama simu. peleleza hata ukitumia hizi modem za tigo au airtel inakuwa ni kama unatumia simu. ndio maana hata wanakuletea sms za ringtones na mengineyo. mie ndio nilikuwa natafuta modem ili niweke simcard kwa hiyo nitaonekana kama natumia simu. lakini ukitumia hizi modem za sasatel sizizokuwa na simcard (built inn) ndio maana zinakataa hizo bundle.
  nilipokuwa zanzibar last week modem ya tigo nilijaribu line zote 4 (voda, airtel ,tigo na zantel) internet iilikuwa inakuja kama kobe a maximum of 2kB/s na muda mwingi inakata hata antivirus nilishindwa ku-update. lakini nikitumia simu yangu kwa kuunganisha na waya na laptop basi speed ilikuwa ni an average of 6kB/s na haikati. ina maana tatizo lipo kwenye modem ndio maana natafuta modem nitayoweza kuweka simcard
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu modem za cdma hazitumii simcad ya kuchomeka, hizo simcard zinazouzwa na sasatel ni kwaajii ya simu zao za cdma(angalia ktk tangazo la bundel za simu kama modem). huwezi kuiweka ktk modem maana modem yenyewe tayari inasimcard yake ambayo iko programed ndani ya modem.
  kwa gsm hakuna shida ukifanikiwa kuifanya modem free unauwezo wa kubadili simcard zote za gsm
  lakini cdma ni tofauti wao hawatumii simcard za nje.
  Sikukatishi tamaa mkuu naongea ninavyo fahamu mimi tu, keep trying u never know pengine inawezekana kirahisi lakini hatujui tuna ngangania theory tu
   
 8. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  zipo modem za cdma zinazotumia simcard za kuchomeka. na ttcl wanauza hizo simcard kwa 1500(nimeenda mwenyewe). na zantel wanauza elfu kumi (nimeambiwa) ila cha muhimu modem za cdma zinahitaji simcard ya cdma. ni ghali sana ndio maana baadhi ya makampuni wakaamua watumie hizo build inn.
  anyway thank you for trying to help
  i will figure it out in one way or another
   
Loading...