swali kwenu wana IT

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
17
habari za mida hii wanajf
naomba kuuliza swali......................................asante

hivi modem ya zantel naweza kuichakachua na kutumia line ya tigo na kusurf bila ubishi au kutakuwa na utata.......
 
Cheap is expensive!
 
Hamna kitu kama hicho, kwan zantel wanatumia cdma ktk modem zao na tign bado wapo katika gsm so hardware compatibility bado inabaki tatizo kwani kuna masuala ya career frequency ambayo ndo inaamua modem isafirishe data zake katika masafa(frerquency) gani. Na masafa ya gsm na cdma yanatofautiana na yanaamuliwa na hardware zlizounda modem husika. So hata ukichakachua modem ya zantel n kwamba hutoweza tumia tigo ktk hyo modem. On that i can surely conclude that wazo lako haliweznkaniki.
 
Back
Top Bottom