tigo

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
jaman kwa anae jua jinsi ya kuunga tgo siku katka simu anipe msaada kdogo.ili niweze kupitia mambo muhimu humu.
Natanguliza shukrani.
 
Tigo siku ya internet? Andik SIKU kwenda 15166 sh.450/=
kna ya wiki sh.2500/=
na ya mwezi sh.15000/=
 
Hapana jombaa. Kama wataka ufaidi kidogo kuhsu tigo internet do dat.
piga *148*01# kisha fuata maelekezo ya kuchagua vifurushi. Kuna cha 450,700,2000, nk.
Endelea kutumia tiGO. Express...........!!
 
Back
Top Bottom