Nisaidieni software kuplay you tube videos kwenye samsung mobile phone ya Java OS

TGS D

Senior Member
Aug 3, 2010
114
13
Nina simu ya samsung B-5722, nahitaji kuplay you tube video lakini nimetafuta software iliyo compartible ambayo inarun kwenye java i.e "***.jar". Please, anayejua hiyo software naomba anisaidie jamani.
 
Thanks Chifunanga, nimejaribisha kuitafuta lakini sikufanikiwa, kama una link ya sehemu ninayoweza kudownload, please share.

Asante kwa ushauri.
 
ipo mobile web browser yaitwa bolt browser inaplay youtube video ukiwa na java phone ni maarufu sana ipo getjar.com na web nyingi download hiyo. Sema kama upo eneo la slow network video zitakua zinaload sana. Pia kwa msaada zaidi nenda vuclip.com utapata video zote za youtube na metacafe zikiwa katika format ya simu kwa ajili ya kudownload
 
Back
Top Bottom