Nisaidieni You tube kwenye simu

Nisaidieni You tube kwenye simu

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu mambo vp? Kwanza nielimisheni YOU TUBE ni nini? Halafu naombeni msaada nifanyeje ili niweze kuangalia video za You tube kupitia kwenye simu yangu aina ya Nokia E61i
 
Hiyo simu ina real player ambayo inaweza kufungua video yoyote ya youtube, unachotakiwa kufanya ni kwenda katika real player settings na define/weka access point ya mtandao unaotumia alafu rudi ktk browser yako na ufungue file unalotaka kuangalia na real player itacheza hilo file direct.
 
Nili install hiyo XENOZU toka juzi ila nimeshindwa jinsi ya kuitumia
 
Umeshindwa kivipi? Connect net, then launch hiyo App.
 
download official youtube application from ovistore
 
yah download official application ya youtube from store.ovi.com but utaangalia tu hutasave, kudownload video yoyote ya youtube kwa simu yako nenda vuclip.com utaipata. Ila kua makini kuangalia video online kunahitaji internet yenye kasi kama wifi na 3g pia hula sana data na kumaliza hela
 
Back
Top Bottom