Msaada wana JF

Jerry k

Member
Feb 28, 2011
6
0
Nina simu yangu samsung gt c3212. Je ina uwezo wa kutumika kama modem kwenye pc yangu? Kwani nimejaribu ku install pc studio 3.2 lakini inashindwa kutambua.kama ndio hatua/vitu vipi vya muhimu?ahsante kwa msaada wenu.
 
Welcome to the club.Kitu kidogo sana.Unapochomeka simu kama haikuletei option ya kui select kama modem,nenda kwenye settings,pc connection,select modem au samsung kies then chomeka tena kwenye computer,fuata wizard ya ku install hiyo hardware.Usisahau kufungulia intanet hapo kwenye samsung pc studio. Have fun.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom