Msaada kufungua vodafone 735

Msaada kufungua vodafone 735

Misterdennis

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2007
Posts
1,741
Reaction score
481
WanaJF, heshima kwenu.

Naomba msaada namna ya kufungua simu aina ya vodafone 735 ili iweze kutumika na mitandao yote.
Kwa sasa inatumika na vodacom pekee.
Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom