Msaada jamani wa kuchepua simu!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani wa kuchepua simu!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, Jun 15, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Jamani wanaJF wote hamjambo? Ninalileta kwenu hili msaidie kama linawezekana.Hivi ktk simu zetu za mkononi hakuna uwezekano wa ku_divert (kuchakachua) maongezi kati ya mtu na mtu ukaweza kuyasikiliza bila wao kuelewa?Kwa mfano Juma kampigia Ali wanaongea ila wewe Rama unayasikiliza maongezi yao.Jamani hilo linawezekana?
   
 2. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Weeeeeeeeeee!!! Ukutwe! Ni kosa kubwa sana kisheria kuhujumu mawasiliano ya mtu mwingine pasipo idhini ya afs-upelelezi au usalama wa taifa weeeeeeeeeeeeee!!! Au mahakama kwa sababu maalumu za kiusalama.
   
 3. Millah

  Millah JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna mwandishi Wa News of the World, gazeti la Uingereza amemlipa fidia mwanamke jumla ya £100,000.00 kwa mchezo huu, ni mchezo mbaya na rahisi kwa kampuni ya simu kuwa shahidi dhidi yako. Ningekushauri usijaribu hata kujifunza.
   
 4. Kaka'

  Kaka' JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Maaadam mmeshatoa warning, then mjibu kama inawezekana au la na kama inawezekana kivipi? Kuna techniques nyngne au ndo zle zle techniques za sim. cloning.?
   
 5. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Hiyo kitu ipo??? Kama ipo inaitwaje kwa kidhungu??? Ndugu yenu nahisi kudanganywa na shemeji/wifi yenu darling,dear,honey,sweetie,baby my capet na mengine mengi nisaidieni kwa hili si mimi peke yangu tuko wengi
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  pole sana kiburudisho
  unalotafuta linawezekana kabisa ila linagarama zake binafsi nakushauri usijaribu tafuta njia nyingine yakumalizana na shemeji kwani njia unayotafuta kisheria ni mbaya kwani si vyema kuingilia privacy za mtu kabisa angekuwa anahatarisha usalama wa taifa letu sawa lakini kama ni mapenzi fungua jukwaa la mapenzi kule utakutana na wazoefu watakupa mbinu nyepesi za kumkamata mwizi wako
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  INAWEZEKANA! Kuna njia ambayo hata provider wenyewe wakikutrace watajua ulikuwa wapi lakn hawatajua wewe ni nani!
  Pamoja na hiyo bado ni kesi; USIJARIBU, WALA USIMPE MTU BAKI MBINU YA NAMNA HII: NI KESI!
   
 8. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  uwezekana upo. ni kumnunulia simu ambayo unaweza kuinstall programz angalau japo za java. hata hizi za mchina nyingi zao zinafanya. na hizo software zipo nyingi, huku tz hamna sheria hizo, wamekutisha pakubwa. weye fanya tu. tumia software kama vile mobile au phone interceptor, jaribu ku google.
  ila njia rahisi zaidi ni kum..... kuliko kujiingiza magharama. labda awe ana ........ ya dhahabu.
   
 9. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Jamani hiyo proglam naitamani sana.Huwezi jua kuwa kesho usiku mwizi atakuja kukuibia,hebu fikiria ni furaha ilioje utakayokuwa nayo mara baada ya kufahamu kuwa kesho saa 4 usiku mwizi(kiburudisho) atakuja kukuibia na mbinu atakayokuja nayo tayari umekwishaifahamu na ataingia kwa mbwembwe gani za honey,dear sweetie laaziz nitamcheka sana
   
 10. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Toba usipime wala kubeep kaka fumanizi hilo linaweza kukuachia kilema. Kama umemgundua siyo mwaminifu katika maisha yako, nakuomba uchukue hatua tofauti na hizo. Ki uhakika kama ni mke wako anakudanganya angalia rekebisha akishindikana achana nae mpe uhuru wake akafanye anavyotaka. Uaminifu ni tabia hufundishwi. wengi wasio waaminifu kubadilika ni ngumu labda umuombee Roho mtakatifu amtembelee katika maisha yake.

  Hilo ni tatizo kwa kila familia, mwanamke akiwa cool ujue baba ni zaidi vile vile unakuta baba ni cool mwanamke ni NISSSAN PATROL, sasa wangu hizo tabia huwa ni ngumu kubadilika. Omba mungu atakusaidia.
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nenda control room ya voda, mobitel, celtel, zantel, sasatel ukaulize...kwa simy ya tochi huwezi.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  hebu ngoja nigoogle nikipata naweka kwenye line yangu ya airtel halafu nampa mamsapu ajue mie si cheater, ila laini ya voda siweki na vimeo vyote nahamishia voda....

  nice one aisee:A S 114:
   
 13. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  angalia mambo haya hapa ambayo yanapatikana katika link hii:

  spy phone, spyphone, spy software, sms spy, cell phone spy, mobile spy, call interceptor.

  ALL-in-ONE spy WINDOWS MOBILE - our world famous spy package is now available for smartphones based on Windows Mobile 6 (and higher) operation system. Many new features added (Email spy, Contacts spy, GPS location etc) Learn More...NEW! PHONE DEAD (free upgrade) - Will allow you to call the target phone even when it's turned OFF and listen in on the surrounding conversation (spy phone mode) while creating NO logs and with NO display on the screen - 100% invisible. Learn More...NEW! SPY REC (free upgrade) - Will allow you to secretly record the surrounding sounds and conversations around the Target Phone. Learn More...NEW! SPY CALL (free upgrade) -Will allow you to secretly record all target phone's incoming & outgoing calls. Learn More...CELL PHONES - We have ready to go mobile phone packages as well as software only packages.

  ila ndio hivyo baba. gharama kidogo
   
Loading...