Please help hii website

Please help hii website

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
nimeamua kuomba msaada nataka kufungua website hii earthjournalism.net lakini kwenye computer yangu kila nikijaribu inasema the website may be temporariry down inaleta ile page ya black and white maandishi meengi nifanyeje ili niifungue mbona wenyewe wanasema haina tatizo lakini nashindwa? I believe jamii forums is a reservoir of knowledge nisaidieni
 
peleka post yako kwenye jukwaa la teknolojia, huko kuna macomputer geeks watakusaidia mara moja
 
hii si sehemu ya hoja mchanganyiko? wasi wasi wa nini kama huna ujuzi kaa kimya
 
Mbona kwangu inafunguka.

Kama bado haifunguki kwako naomba nitumie error message unaoipata katika computer yako ili nikusaidia kama itawezekana.
 
[h=2]Inafunguka mbona?


EMPOWERING ENVIRONMENTAL MEDIA WORLDWIDE
[/h]Internews Network and Internews Europe developed the Earth Journalism Network (EJN) to empower and enable journalists from developing countries to cover the environment more effectively. EJN establishes networks of environmental journalists in countries where they don't exist, and builds their capacity where they do, through training workshops and development of training materials, support for production and distribution, and dispersing small grants
 
Back
Top Bottom