Jaman wenye mita za luku msaada luku!!!!!!

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
naomben msaada jamani mwenzenu mita ya tanesco luku inanitesa hadi nakosa raha ya kutumia umeme wa tanesco kila mwezi nakatwa 3800 naambiwa service charge sasa nashinwa jua ninini hiyo sevc charge inahusu kila mwezi naje nasikia kuna code ukiingiza mita inakuwa haikuli sasa unit anaye jua chochote kuhusu hizi luku msaada jamani au kama kuna njia yeyote ya kuifanya mita iwe kilaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom