Msaada IDM

Msaada IDM

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,643
Wakuu nime install internet download manager605 lakini imegoma kufanya kazi hadi niwe na key zake. Msaada naomba kwa yeyote aliye nazo aziweke hapa. Natanguliza shukrani na heshima.
 
Nimekugongea mkuu ahsante.
 
weye fungua tu , hicho kiraka (patch) utaona key. kikopie hiko kifaili kiweke kwenye folder uliloinstal idm. kisha bonyeza patch. na ukipenda iapdate lakini ukimaliza tu run tena hicho kiraka kwani kazi yake ni kuizuia isicheki kama serial ni feki au sio feki
 
mkuu ahsante sana it worked. you have my thanks.
 
Back
Top Bottom