SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Habari wakuu!!
yeah once again....Rapidshare inakera sana wakati umesearch unakuta link ipo kwenye Rapidshare...unasubiri weeeee hadi dk 50 ndio udownload na pia kaspeed kenyewe kaduchu!!! ahaaaaaaa kero kero kero
so sasa achana na kusubili muda mrefu Unapotaka kudownload toka kwenye RAPIDSHARE au Deposity file,filefactors etc
what to do?!!!
simply ni njia 2!!
1) kwenye link ya RAPIDSHARE mwanzoni kabisa ongeza 's' yeah sijakosea wajameni
ongeza herufi s mwanzoni mwa link ya RAPIDSAHRE moja kwa moja utaanza kudownload bila kusubili with FULL speed!!
2)copy link yako ya RAPIDSHARE na ipaste kwenye link hiiiiiii
Free Download from Rapidshare, FileFactory. Free Download Videos from Youtube, Google, Metacafe - SaveFrom.net
pia unaweza paste link ya YOUTUBE,DAILMOTION ETC Anything u want ambacho ni online media na kudownload ina a format of .FLV
Najua kunasoftware kibao kama IDM na nyingine lakini kama upo kwenye pc ya mtu na unatumia kwa muda ni vizuri kutumia hii mfano upo internetcafe au penginepo.....
pia unaweza ukawa interested na hii
KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more!
hapo una copy na kupaste link ya wimbo,video au unachofikilia wewe na Hureeeee!! unaanza kudownload....so enjoy uhuru hata kama Computer si yako!!!!
cheers!!!!