Hakuna haja tena yakuchakachua modem

Hakuna haja tena yakuchakachua modem

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
936
Reaction score
515
Kuna software nimeinstall yaitwa 3broadband connecting mobile iko poa. Na nlikua natumia modem ya vodacom bt now hata nikiweka chp ya airtel kwenye modem ya voda inafanya kazi kama kawaida... Co voda tu hata wenye tigo pia.
 
Mkuu be more specific, ni modem za model na manufacture gani ndio zinakubali hii kitu and how.
Dont tell me ni kwa modem yeyote
 
Kuna software nimeinstall yaitwa 3broadband connecting mobile iko poa. Na nlikua natumia modem ya vodacom bt now hata nikiweka chp ya airtel kwenye modem ya voda inafanya kazi kama kawaida... Co voda tu hata wenye tigo pia.

hata zantel inakubali,ila modem inapata moto sana ukitumia zantel
 
mie nahisi anaongela zile modem za vodacom ambazo ni locked dashboard sio modem lakini hz zingine ambazo ni customized firmware bado sijaona mtu akifanikiwa kuunlock.... na hyo software ni join air ambayo itakubali utumia line yoyote kwa zile modem za vodafone K version
 
Just use ubuntu na any moderm u lyk wit any line, its awesome! I did use t wit vda moderm wit tigo line o artel moderm wit tigo ln o vda moderm wit artel ln.
 
Kuna software nimeinstall yaitwa 3broadband connecting mobile iko poa. Na nlikua natumia modem ya vodacom bt now hata nikiweka chp ya airtel kwenye modem ya voda inafanya kazi kama kawaida... Co voda tu hata wenye tigo pia.
\\

ungeweka hapa jamvini mkuu
 
Mkuu mi naona ungeweka hapa link ya ku download hiyo software ungewasaidia sana watu hapa JF

Hili jukwaa naona limekuwa jukwaa la kuringishiana! hakuna anyetaka kuweka mambo wazi!!

Kama ni issue sensitive we sema watu wakuPM, kama ni issue ya ku-google si uweke link tu kiishe?
 
mimi natumia moderm ya zantel ile ambayo haitumii line ila ina sehemu ya kuwekea line je nayo pia nikiweka cheap ya tigo au airtel inaweza fanya kazi?
 
nenda google utaidownload krahc sana mkubwa.
Wewe mtu wewe, yaani mtu akagoogle nini? si useme nenda google tafuta xxxxxx
La, ugeni wa jf nao unakusumbua. Umetumia nguvu nyingi kuandika usefulness post.
 
Acheni kuchakachua mbona wa tz, tunapenda sana mambo ya mbinumbinu, mi nashauri ya voda iwekwe voda na tigo pia hata zain na zantel. asanteni. na kwaherini kwa sasa.
 
Acheni kuchakachua mbona wa tz, tunapenda sana mambo ya mbinumbinu, mi nashauri ya voda iwekwe voda na tigo pia hata zain na zantel. asanteni. na kwaherini kwa sasa.

Wewe sjui umekosea njia!...this is a science and tech forum, son!
 
Acheni kuchakachua mbona wa tz, tunapenda sana mambo ya mbinumbinu, mi nashauri ya voda iwekwe voda na tigo pia hata zain na zantel. asanteni. na kwaherini kwa sasa.

ushauri wako hatuupendi. sisi tunataka tuwe huru. sasa unataka tununue modem zote 5. kwa kila operator. wacha mambo yako weyeeee.
hao ma-operator wenyewe wanatukaba koo. mara huyu leo kapandisha bei bundle. mara yule kaweka masharti mara huyu karamba hela zote kwenye modem.
uwo ushauri wako kaupeleke mwembeshauri kuleee kwenye jukwaa lenu la siasa au mambo ya waliozidi miaka 18........
 
2wekeee link wa2 2fanye mambo, mana mpaka hapo hamna mxaada wowote uliotoa
 
Back
Top Bottom