what is your favorable games in windows

what is your favorable games in windows

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,411
Reaction score
3,279
Wadau siku za karibuni nimetokea kupenda sana kucheza games ktk pc yangu, na hadi sasa ninazo game nizipendazo.
Delta force: black hawk down, na land worrior
Team apache
GTA-San andreas
Baghdad central desert gunner
MaxPayne
NFS underground
Zuma revenge
Checker
Call duty


je ni games gani unazopenda so i can pick one
 
I like kucheza draft. kuna game kila ukinshinda demu anavua uishinda mara tatu anakuwa avua kila kitu.

I was so addicted lakini sasa nimeacha game za kucheza na computer nacheza na real people nline.

Nyingine nayopenda ni pooltable ipo yahoo games
 
crysis,lost planet 2 extreme condition,call of duty world at war,ghost recon,the thing....mordern warfare,black ops..
 
Football Manager 2011. watin 4 2012 to come out...
Mkuu hii game naipenda sana lakini inanipa tabu kucheza, unatakiwa kuwa na vidole sharp kukontrol keys
@mtazamaji gemu hiyo ya demu kusaula niliicheza zamani sana nadhani ilikuwa inakuja na windows za zamani, sikuhizi siioni
 
Nani mwenye Midtown madness3 or its latest version?
 
kuna mtu anajua game yoyote nzuri ya kudrive ndege/helikopta, nimejaribu Combat Wings:the beatle of britain sijaipenda sana
 
Prison break, Wheelman and God Father two.these are my best..
 
I like kucheza draft. kuna game kila ukinshinda demu anavua uishinda mara tatu anakuwa avua kila kitu.

I was so addicted lakini sasa nimeacha game za kucheza na computer nacheza na real people nline.

Nyingine nayopenda ni pooltable ipo yahoo games

Naughty you! Any way hivi ulipata ufumbuzi jinc ya kuwafungua na wale wengine,wanafunguka wa2 tu,aah sio kwamba nacheza mimi.lol
 
The games i love
HITMAN 1&2
PROJECT IGI,super cool
AGE OF EMPIRES-this is the mother of all ma games,so addictive,yaani nikianza kucheza usiniite hata kama my life is in danger.lol
I hate mortal kombat,why? Because i can't perform the stupid fatalities..
 
goodguy they are nice bt old games.hem play latest games and see how technology ilivyo advance
 
goodguy they are nice bt old games.hem play latest games and see how technology ilivyo advance

my console has that covered thank you very much. Sasa hapo ndo balaa. GOD OF WAR no.1 and Pro football 2011,then wrestling,nikipata off 2,lazima niguse hii kitu.
 
guys for those who have capable pc's,try crysis 1,2...battlefield,black ops..they're great.
 
Back
Top Bottom