Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

jamni jamani jamani jamani kumbukeni speed ya mtandao wowote inategemea na location unaweza ukanunua mordem ya tigo na kifurushi cha standard month internet na download speed usipate hata 600kbps...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Tafadhali wandugu mtu yeyote anayeweza kuisaidia product key za SPSS 19 naomba anisaidie. Niko tight kwenye research na nimepata hiyo program tatizo ni product key.... Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hello wataalam wa IT ama Computer Technology ni hivi mimi najishughulisha na mambo ya Mapping &Spatial Technology nilichokuwa nataka msaada ni kwamba nataka kununu laptop kwa ajili ya kufanyia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hey wadau na wataalamu wa jukwaa la teknolojia Katika uzi huu kwa kutumia mifano hai na ufahamu na uzoefu wa mambo ya ICT tujaribu kuchambua, kukosoa, kusifia na kulingansiha tovuti mbali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina latop ya Zamani nataka nunua mpya. Swali je naweza hamisha kila kitu ninamaana files na software kutoka laptop ya zamani kwenda mpya. Inahitaji mtu wa IT ama hata mimi Mchungaji naweza fanya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi itakuwaje siku umeamka asubuhi unafungua mlango halafu unakuta hakuna nje? Yaani nje kumepotea. Halafu unarudi ndani napo kumepotea! Ni wazo la kijinga lakini scientifically? Nawasilisha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau mi nimenunua modem ya voda juzi huwa naweka laini kwenye simu na kuunganisha internet kwa sh 2000 ambayo huwa inawahi kuisha na pia nashidwa kudownload chochote kwani hela inaisha na pia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hackers naomba mfanye mambo kwenye web ya TCU ili tujue kinachoendelea,.,mana uvumilivu nahisi kunishinda,.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
asee simu yangu ni nokia c9 ina line ya voda na tigo nashindwa kujiunga
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu Ninashida ya Product Key za Window Xp Pro Msaada Pls
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hey guyz nauza my nokia 6600i nimeitumia kwa miez 4 only kama unavoion bado ipo kwa good condition kabisa kwa sh 140000 tu!! ina 5mp, 3g, slide for its more futures go to Nokia 6600i slide...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu ninayo desktop yangu,nikiweka hard disk drive haisomi hata kwenye boot device haisomi but nikiiweka kwenye other desktop inafanya kazi, tatizo lipo wapi,hard disk ni ya sata windows ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Does any one knows how to remove an old firmware of a memory card coz hawa wachina wanaweka firmware ambayo iko weak sana virus wakingia kidogo tu inakuwa ni ya kutupa maana hauwezi kuiformat wala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari zetu wana JF....nimejaribu kucheki huku kule ....naona niombe msaada hapa ......ebu tusaidiane katika hili wadau..!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu heshima mbele nimeona niweke hii kitu kwenye page moja kupunguza msongamano wa page humu nakaribisha maoni kama umeipenda na umenufaika pls usisahau kunigongea thanx motorola w220 display...
1 Reactions
11 Replies
11K Views
Habari Yenu, Mimi nimekuwa configured internet connection ya DSL ya TTCL 1MBps Unlimited lakini chakushangaza speed iko low sana ni chini kabisa yani si stahiki kulipia 110,000 halafu speed iko...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nahitaji Mac Os operating system kwa Apple netbook! Mwenye link ya kudownload tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Jamani kama knaabiria aliyepanda gari la UCC Dar es Salaam branch alipakulie full detail za pale nikmanisha ufndshaji wao, materials, practices na performance yao na after xul vip ukienda field...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza!Nina desk top yangu inaukubwa wa 120gb.Haina partition.Je naweza kufanya partition bila kupoteza data zangu nilizonazo kwenye hiyo HDD?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SIMPLE PROGRAM FOR CHANGING PDF TO WORD AND WORD TO PDF http://www.filesonic.com/file/1638088704
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…