Kwa wenyeji wangu wa voda modem. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenyeji wangu wa voda modem.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Jul 31, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau mi nimenunua modem ya voda juzi huwa naweka laini kwenye simu na kuunganisha internet kwa sh 2000 ambayo huwa inawahi kuisha na pia nashidwa kudownload chochote kwani hela inaisha na pia kwenye menyu ya connection kuna sehemu iliyoandikwa call ambayo ina namba kama kwenye simu ila sehemu ya kupiga haipo active. Kwa ufupi naombeni mawazo yenu ili niweze kufurahia hii modem yangu ya voda!
   
 2. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna thread nyingi humu za kuchakachua modem, we tafuta tu.
   
 3. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  sawa mkuu na hiyo unayosema ya kuchakachua naihitaji ila kikubwa ni kuhusu mawazo ya jinsi ya kuenjoy ukiwa na modem ya voda je ni kifurushi gani kinauwezo wa kusafu na kudownload na ni yapi mengine yaliyopo kama nilivyouliza hapo juu!!
   
 4. G

  GHANI JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kifurushi cha 2000/ ni 50mb unapewa for one month, so nadhani connections zako hazipo sawa haiwezi kuisha mapema hivyo also make sure that all automatic update are kept off.
   
 5. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa si bora utumie zain 400mb kwa sh. 2500 mkuu.
   
 6. s

  shakaganda92 Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pAackage ya sh 2000 si kitu hudownload chochote cha maana zaidi ya kusurf tuu kuna package ya unlimited downloads week na a month a week ni 7000/= a month i think ni 30000/= so chagua kati ya hizo udownload mpakaa uchokeee
   
 7. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ok akhsanteni kwa mawazo wakuu lakini jambo lingine bac mnisaidie kuchakachua ili nitumie mitandao yote detail za modem hii ni
  vodafone IMEI 359592035647414 S/N 321102980872 MODEL K3570-Z Msaada plz
   
 8. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapo awali ili kununua Data Bundle kwa kutumia simu au modem ilikuwa kama ifuatavyo:1. Kwanza modem au simu iwe salio la kutosha2. Nenda sehemu ya kuandika meseji kwa mfano unataka 50MB kwa sh.2000 unaandika 50MB kisha unatuma kwenda namba 123.Lakini hii huduma haikubali siku hizi pamoja na kuwapigia customer care wa Voda bila mafanikio, kwa njia mbadala ninayotumia mimi ni kutoa line kwenye modem na kuiweka kwenye simu ya kawaida na kisha unapiga namba *149*01# kisha chagua cheka internet na kufuata maelezo yanayofuata
   
 9. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Toa hiyo laini ya voda kwenye moderm na uiingize kwenye handset yako, nenda kwa msg na hakikisha sim inapesa ya kutosha coz kwa week ilikuwa ni 10000 na kwa mwezi ilikuwa 30000 japo nasikia sasa kwa week ni 15000. So nenda kwa msg kisha andika neno BOMBA7 afu tuma kwa 123 utatumiwa msg kuwa ombi lao linashughulikiwa na baadaye watakuambia uko kwa bandle ya 7days...Toa lain kwa handset kisha irudishe kwa moderm na anza kutumia, hapo uta-download chochote utakacho for seven days unlimited. Kama unataka kwa mwezi ni vile vile ila andika BOMBA30 afu tumama 123...Hope kwa sehemu nitakuwa nimesaidia...
   
 10. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hiyo haichakachuki kwa imei mpaka upate software
   
 11. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tupe details zaidi
   
 12. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo ni kweli kabisa mkuu. lakini mimi sijui kwa nini nikitumia sim card yangu ya voda au airtel kwenye modem iliyochakachuliwa ya airtel net inakuja na kukata lakini nikitumia simu yangu ya nokia 3120 Classic kama modem net inakuwa na speed ya ajabu na haikatikati. je hii handset yangu haiwezi kuwa hatarini kuvamiwa na viruses?? pls help to furnish me with an answer.
   
 13. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ni pm nikupe maujaanja
   
 14. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwani unatumia software gani ku kuconect internet
   
 15. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  samahani mkuu tunaomba utusaidie basi maelezo kuhusiana na hiyo software inayohitajika ili tuwe pamoja!!!!
   
 16. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
 17. M

  Mateka Senior Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hiyo hela unapata mb chache san kama 20 inaisha ndani ya lisaa. kama ni mimi huwa namaliza ndani ya dakika 3 tu.
   
 18. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikitumia simu yangu ya Nokia 3120 classic natumia NOKIA PC Suite niliyo download kwenye site ya Nokia na net inakuwa kasi sana. Sijui ni kwa nini nikitumia modem iliyochakachuliwa ya airtel speed ni ya kinyonga kama sio konokono - iwe sim card ya airtel au ya voda!!
   
 19. S

  SunStrong Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hivi, hicho kitufe cha call hakiko active kwa zababu computer yako haina MIC, tafuta MIC nyingi zinauzwa pamoja na earphone.
  Hela yako inaisha mapema kwa sababu imekuwa limited, namaanisha downloading speed wameiana na pia wameweka kiwango kidogo sana cha bandle, jariu ya elfu kumi, am sure will work labda kama uko sehemu yenye network dhaifu.
   
 20. S

  SunStrong Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hivi, hicho kitufe cha call hakiko active kwa zababu computer yako haina MIC, tafuta MIC nyingi zinauzwa pamoja na earphone.
  Hela yako inaisha mapema kwa sababu imekuwa limited, namaanisha downloading speed wameiana na pia wameweka kiwango kidogo sana cha bandle, jariu ya elfu kumi, am sure will work labda kama uko sehemu yenye network dhaifu.
   
Loading...