mordem yenye speed kubwa kuliko zote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mordem yenye speed kubwa kuliko zote

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Fatma Bawazir, Aug 5, 2011.

 1. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jamni jamani jamani jamani kumbukeni speed ya mtandao wowote inategemea na location unaweza ukanunua mordem ya tigo na kifurushi cha standard month internet na download speed usipate hata 600kbps na mwenzako anapata mpaka 2.5mbps na ukaweka voda bomba7 ukapata download peed mpaka 2.5mbps na mwenzako asipate hata 500kbps hizi network za 3g zimekuwa kama kamari mimi nilichukua mordem ya tigo nikajiunga na kifurushi cha standard month internet nikawa ninapata download speed ya dash bord 500kbps up to 600kbps haizidi zaidi ya hapo nikachukua ya vodacom nikajiunga na bomba7 sasa ninapata download speed 2.5mbps na ninapotoka chumbani nikiwa sitting room napata download speed 1.5mbps haizidi kwahiyo wana jf speed ya 3g inategemea na location unaweza ukasikia tigo kiboko ukakimbilia tigo kumbe location yako inafaa voda na unaweza kusikia voda ndio kiboko kumbe location yako tigo ndio inafaa au sasatel au airtel swala hili limeumiza watu vicha sana hilo lazima mlijue kama hapa bongo 3g bado ni kama kamari kuna kupata na kukosa
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe 100%, yamenikuta.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mimi ttcl land line
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ttcl haina shaka
   
 5. c

  cc_africa Senior Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu ya nokia mi natumia nokia modem cs 19 ina 21mbps
   
 6. L

  Lepapalongo Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kama ukiona modem inakuzingua chukua smartphone yako mostly i use nokia E-series yenye download speed 10mbps ktk 3g, download joikusport kwenye cm then ungawireless kwenye laptop yako baada ya kujiunga na moja ya unlimited bundle katika cm.basi utainjoy downloading speed kubwa kwa kusave user wa nyumba nzima thru wireless.
   
 7. m

  mlavie JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 298
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  hilo la location limesumbua wengi hata mimi yalinikuta ila ninapokuwa maeneo ya mjini natumia EVDO ya ttcl haina
  tatizo ila ukitoka nje ya mji network hakuna. kwa mjini hamna mshindani.
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu hebu tufafanulie zaidi hapa ili tujaribu
   
 9. K

  Karzjr Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nokia modem cs 9 nitaipata wapi kaka?
   
 10. K

  Karzjr Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nokia modem cs 19 nitaipata wapi kaka?
   
 11. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  binti kama unatumia any of nokia smart phones we tembelea ovi store then find such application called joiku spot lite version (free version),au google joiku spot and you will get enough information...waweza pia kuitumia joiku kuunganisha zaidi ya kompyuta moja only that you need to have enough data plan.
   
 12. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Modem is not an issue. issue ni network;
  • Coverage - Je unapata signal nzuri kutoka kwa service provider wako? Quality ya signal wakati mwingine hubadirika badira kutokana na sehemu ulipo na vitu vingine vingi!
  • Bandwidth - Je mnara ule unaopata signal kutokea unapata bandwidth ya kutosha? Modem nyingi zina speed hadi 3.2Mbps, lakini mnara unaweza kuta umeungwa kwa kutumia E1 moja (yaani 2Mbps transmission capacity). Kwa hapa kutegemea kupata more than 2Mbps ni muujiza. Hali huwa mbaya zaidi pale unapokuta capacity hii hii hutumiwa na waongeaji vile vile, na simu inapewa nafasi ya juu zaidi kwani inazalisha hela nyingi zaidi!
  • Watumiaji wengine - Watumiaji mlio chini ya mwavuli mmoja (yaani mnaopata signal kutoka kwenye mnara mmoja) mko wangapi? Hili hubadirika badirika kutokana na idadi ya watu mnaotumia mnara mmoja kwa wakati huo. Kwa ujumla hiyo 3.2Mbps inayomwagwa na mnara wa 3G mnaigawana watumiaji wote mnaopokea signal kutoka kwenye mnara mmoja, siyo kwamba kila mtu anapata 3.2 ya kwake.
  • Gateway capacity - Kutokana na gharama ya international bandwidth operators wengi hufanya bandwidth sharing kwenye gateway. Mfano operator ana total internet gateway capacity ya 155Mbps (1xSTM1) kupitia submarine cable. Akiwa na watumiaji 10,000 kwenye mtandao kwa wakati mmoja, ujue wote mnagawana hiyo 155Mbps. Bila kujali modem yako ina speed kiasi gani utakachopata ni 155Mbps/10,000 users (yaani 15.872Kbps assuming kuwa wote mnashea bandwidth equally). Hali inakuwa mbaya zaidi kunapokuwepo na corporate users ambao hupewa speed kubwa zaidi kupitia fiber optic connections, Wimax, copper, etc.
  • In most cases hizi 3.2Mbps speed tunazoambiwa, ni laboratory simulation figures. Yaani huwa zinafikiwa kwenye majaribio tu ya kimaabara, katika hali halisi speed hizi hubaki kuwa za kinadharia zaidi. Ukiweza kupata hata 60% ya kasi hii kwa kipindi fulani tu, ujue imetokea tu!!
  Mambo yote hayo service provider wako hatakuambia. Mfano muulize service provider wako ana gateway capacity kiasi gani na wateja wangapi? ... Hakuna atakayekupa jibu sahihi, at best atakudanganya! Lakini operators wengi Tanzania wana maximum ya 1xSTM1 (155Mbps) kupitia SEACOM/EASSy. Nadhani ni operator mmoja tu au wawili wenye 1xSTM4 capacity (yaani 622Mbps) au zaidi. Kwa idadi ya watumiaji waliopo, usitarajie kabisa kupata zaidi ya 300Kbps muda mwingi. Hizo burst za kufikia 1.5Mbps hadi 2Mbps hutokea kwa muda mfupi tu tena ukiwa mahali ambapo unapata signal nzuri sana!

  Wale walio kwenye nyaya; fibre optic au Copper mara nyingi wanapata huduma consistent zaidi kwani haiathiriwi na frequency sharing kwani waya mmoja huwa sawa na Mnara mmoja kamili. Kwa waya za fibre optic uwezo ni mkubwa zaidi ndo maana corporate customers wote hutumia waya (fibre or at least copper).
   
Loading...