Msaada wa kitalam kuhusu manunuzi ya LAPTOP

mfukoz

Member
Aug 11, 2011
35
4
hello wataalam wa IT ama Computer Technology ni hivi mimi najishughulisha na mambo ya Mapping &Spatial Technology nilichokuwa nataka msaada ni kwamba nataka kununu laptop kwa ajili ya kufanyia hizi kazi zangu ila huwa sijajua ni vitu gani vya MSINGI vya kuzingatia kabla ya kuchukua hiyo laptop,na kuna mtu mmoj alinambiakwamba computerikiwa na Processor aina ya CELERON inakuwa siyo nzuri sana na hata ikitokea any damage is very difficult to gate dat spare na alinambia kwamba TOSHIBA is more uo date then computer ikiandikwa lets say C600_IEL nini maana yake na ikiandikwa DDR3 ram,HDD:320GB,OS:DOS,nawasilisha.
 
c msemaji sana bt v bin usin TOSHIBA product for time, i can say they are the good PRODUCt at affordable PRICE, nd nw days kuna processor mpya za intel ambazo ni i3, i5, i7 thnk you should look at it
 
hello wataalam wa IT ama Computer Technology ni hivi mimi najishughulisha na mambo ya Mapping &Spatial Technology nilichokuwa nataka msaada ni kwamba nataka kununu laptop kwa ajili ya kufanyia hizi kazi zangu ila huwa sijajua ni vitu gani vya MSINGIvya kuzingatia kabla ya kuchukua hiyo laptop,na kuna mtu mmoj alinambiakwamba computerikiwa na Processor aina ya CELERON inakuwa siyo nzuri sana na hata ikitokea any damage is very difficult to gate dat spare na alinambia kwamba TOSHIBA is more uo date then computer ikiandikwa lets say C600_IEL nini maana yake na ikiandikwa DDR3 ram,HDD:320GB,OS:DOS,nawasilisha.

Toshiba ni nzuri..DDR ni aina (nzuri) ya computer memory..HDD ni hard disk (computer storage device) OS..ni Operating System..
 
Back
Top Bottom