Msaada!Msaada,Tatizo la desktop

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
716
292
Wandugu ninayo desktop yangu,nikiweka hard disk drive haisomi hata kwenye boot device haisomi but nikiiweka kwenye other desktop inafanya kazi, tatizo lipo wapi,hard disk ni ya sata windows ni Xp.naomba msaada.

Tatizo ndio hilo sasa sata haisupport windows xp so inabidi ubadili windows au kwenye BIOS setup change ide to sata

bios setup ipo kwenye floop disk naomba sana unijuze nawezaje kuipeleka kwenye hard disk.

bios setup ipo kwenye floop disk nawezaje kuipeleka kwenye sata.

Tatizo ndio hilo sasa sata haisupport windows xp so inabidi ubadili windows au kwenye BIOS setup change ide to sata

mtaalamu nimekuelewa lakini mwanzoni nilikua natumia window xp kwenye hii sata kabla settings hazijavurugika.

bios setup ipo kwenye floop disk naomba sana unijuze nawezaje kuipeleka kwenye hard disk.

hapo tumia hiyo mishale kushuka mpaka kwenye chaguo lako.Kisha peleka mshale wa kusho na kulia mpaka uone unachokitaka.Halafu unabonyeza INTER kubadili chaguo lako.KOMAA UTAFANIKIWA.

tafuta SATA drivers kwa hiyo aina ya disk (seagate et al) uinstall ktk windows yako and enjoy!

Back
Top Bottom